Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama kupelekewa ‘kifimbo’ cha Nyerere

Rais wa Marekani, Barack Obama.RAIS wa Marekani, Barack Obama anatarajiwa kuwa kiongozi wa tatu duniani kuanza kubeba kifimbo kama kile cha Mwalimu Nyerere ambacho tayari kimechongwa kwa ajili yake na msanii yule yule aliyetengeneza fimbo ya Baba wa Taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo wilayani Butiama,...

 

9 years ago

GPL

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya.
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa...

 

10 years ago

GPL

KIFIMBO CHA MWALIMU NYERERE KILIKUWA NA NGUVU FULANI?

Hayati Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake. KWA miaka mingi watu wamekuwa wakitoa maelezo kadha wa kadhaa kuhusu kifimbo ambacho Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikibeba kila alipokwenda. Kuna ambao walisema hakikuwa  kifimbo cha kawaida na kuna waliokihusisha kifimbo hicho na zindiko.
Kuna ambao bado wanasema kifimbo cha Nyerere kilikuwa na nguvu fulani ya asili na ya kimila ambayo ilimfanya aheshimike na kuogopwa....

 

10 years ago

Daily News

Barack Obama set to get 'kifimbo' from Tanzania


Barack Obama set to get 'kifimbo' from Tanzania
Daily News
US President Barack Obama will soon receive a 'leadership wand' similar to the one which was used by Tanzania's first president, Mwalimu Julius Nyerere, from the same sculptor who made the latter's banter. Speaking in Arusha, renowned artist, sculptor ...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifimbo cha Malkia kutua leo

Wadau wa michezo zaidi ya 367 wanatarajiwa kukimbiza kifimbo cha Malkia wa Uingereza kinachowasili nchini leo mchana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifimbo cha malkia na ujinga wa utandawazi

IPO dhana ya kwamba kutawaliwa kulichangia maendeleo ya Bara la Afrika, ikiwemo  nchi yetu ya Tanzania. Vilevile wapo wanaodhani kwamba mawazo ya kupenda kutawala, yaani sehemu moja kuinyang’anya sehemu nyingine...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifimbo cha Malkia kufika Zanzibar

KIFIMBO cha Malkia wa Uingereza (QBR), kinatarajiwa kuwasili nchini kikitokea Kigali, Rwanda kupitia Nairobi, Kenya Januari 18 mwakani, kikitarajiwa pia kukimbizwa visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete kupokea Kifimbo cha Malkia

Rais Tanzania, Jakaya Kikwete atapokea Kifimbo cha Malkia, Januari 18, Jiji la Dar es Salaam kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani