KIFIMBO CHA MWALIMU NYERERE KILIKUWA NA NGUVU FULANI?
![](http://api.ning.com:80/files/3KGM3KZVxz6AaRMTtrS*DwZPByArP3uvO1cNKGEP7ctrCyrsXBEzIJXxrWO5rVGF-qgyMwv0b0OKAWaNGTDKjSx05tgMNe6R/ny10st4.jpg?width=650)
Hayati Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake. KWA miaka mingi watu wamekuwa wakitoa maelezo kadha wa kadhaa kuhusu kifimbo ambacho Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikibeba kila alipokwenda. Kuna ambao walisema hakikuwa kifimbo cha kawaida na kuna waliokihusisha kifimbo hicho na zindiko. Kuna ambao bado wanasema kifimbo cha Nyerere kilikuwa na nguvu fulani ya asili na ya kimila ambayo ilimfanya aheshimike na kuogopwa....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
9 years ago
GPLDK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'
10 years ago
Habarileo15 Jun
Obama kupelekewa ‘kifimbo’ cha Nyerere
RAIS wa Marekani, Barack Obama anatarajiwa kuwa kiongozi wa tatu duniani kuanza kubeba kifimbo kama kile cha Mwalimu Nyerere ambacho tayari kimechongwa kwa ajili yake na msanii yule yule aliyetengeneza fimbo ya Baba wa Taifa.
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Mamlaka ya elimu yatoa ufadhili wa milioni 300 kwa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K.Nyerere
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bw. Joel Laurent akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar Es Salaam kuhusu mikakati ya mamlaka hiyo katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kupitia Mfuko wa Elimu. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mwalimu Julius K Nyerere Prof. Dominic Kambarage (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi...
10 years ago
AllAfrica.Com21 May
New 'Kibweta Cha Mwalimu Nyerere' on Leadership and Ethics Training ...
IPPmedia
AllAfrica.com
(B) THE AFRICAN UNITY PROJECT - AFRICAN Unity was Mwalimu Nyerere's next urgent agenda immediately following that of African liberation, In his speech titled "Africa Must Unite" which he delivered in Accra during celebrations to mark the 40th ...
Meeting on peace, unity opensIPPmedia
all 2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT2eNyXXafxvHX1r5JG3q22VOsK0qDEu4VKRjw32eJuH8-HWOOzBbJJcE7ysXxOH3ZZ8euDa0tR3H*L8IN4ZfTzN/NYERERE.jpg?width=650)
KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE
10 years ago
Vijimambo14 Oct
9 years ago
Vijimambo14 Oct
LEO NI MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2912672/highRes/1147061/-/maxw/600/-/l336uv/-/Nyerere.jpg)
By Pius Msekwa
Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake. Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.
Lakini yapo mambo mengine mengi ya uongozi wake ambayo...
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Chuo cha Mwalimu Nyerere charudi katika enzi zake
RAIS wa kwanza wa Tanzania, Julius Nyerere alijipambanua kwa kuchukia mafisadi na watumishi wavivu. Maisha yake yote alilisimamia hilo na alipopata wasaa alikemea.
Ndio maana katika harakati za kupatikana uhuru wa Tanganyika, alibuni wazo la kuwa na chuo kitakachowafunza viongozi maadili ya umma na namna bora ya kutoa huduma, chuo hicho kilianza na makada wa chama cha Tanganyika National Union (TANU).
Baada ya uhuru viongozi wote walipoteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali walipitia...