Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kutunuku waliong’ara la 7, Kidato Nne 2014

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kutoa zawadi kwa wanafunzi, shule, halmashauri na mikoa iliyofanya vizuri katika ufaulu katika mitihani ya Darasa la Saba na Kidato cha Nne mwaka 2014.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tumepunguza sifuri za kujitakia kidato cha nne 2014

Uamuzi wa kuruhusu wanafunzi wanaofeli mtihani huo kuendelea na masomo ya juu, unatajwa kuwa moja ya sababu kubwa zilizochangia ongezeko kubwa la wanafunzi wanaopata daraja sifuri katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne.

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA QT 2014 HAYA HAPA


 BOFYA LINK HII KUONA NA KUSOMA MATOKEO  YA KIDATO CHA NNE NA QT 2014 .

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

10 years ago

Mwananchi

Waliong’ara michezo Afrika wageukia fani nyingine

Tanzania itashiriki kwa mara ya 11 kwenye michezo ya Mataifa ya Afrika (All African Games) nchini Congo Brazzaville baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota waliong'ara sana bila kutwaa Ballon d’Or

Tuzo ya Fifa Ballon d`Õr hutolewa kwa wachezaji bora wa soka duniani kama ilivyo kwa tuzo za Oscar zinatolewa kwa waigizaji bora na tuzo Nobel inayotolewa kwa wanasayansi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waliong’ara red carpet kwenye sherehe ya siku ya wanawake Zanzibar

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali kwenye red carpet wakati wa sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyowakutanisha wanawake kutoka kila kona ya visiwani Zanzibar ambayo iliandaliwa na Kikundi cha Wanawake cha Zanzibalicious na kufanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya hoteli ya Bwawani.

DSC_0148

DSC_0099

DSC_0095

Mbunifu wa mavazi kutoka bara Mama wa mitindo Asia Idarous (kushoto) akipozi na mbunifu wa mavazi kutoka visiwani Zanzibar Matilda Ishungisa wa Malty design.

DSC_0092

DSC_0106

Makamu mwenyekiti wa kikundi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waliong’ara kwenye Red-Carpet 2015 Grammy Awards hawa hapa!

Madonna, Giuliana Rancic, Sam Smith.(All Photos by Getty Images).

grammys1

Charlie Benante, Kelly Osborne, Jesse McCartney.

grammys2

Jessie J, HAIM, Ariana Grande

grammy4

Flip, Soli Olds, Angelique Kidjo.

red-carpet-57th-grammy-awards-trip-recovered

Billy Ray Cyrus, Clean Bandit, Aloe Blacc.

grammys5

Childish Gambino, Gwen Stefani, Sean Paul

grammys6

Big Sean, Chrissy Tiegan and John Legend, Dierks Bentley.

grammys7

Katherine McPhee, Weird Al, Jhene Aiko.

grammys8

Hozier, Sia, Blake Shelton and Miranda Lambert.

grammys9

Ed Sheeran, Annie Lennox, Questlove

grammys10

Chris Brown, Meghan Trainor, Ryan Adams

grammys11

 

10 years ago

Dewji Blog

Waliong’ara Red carpet mnuso wa Birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa Tanzania

IMG_8277

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Frontline Porter Novelli, Hellen Kiwia (kulia) nao walikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria mnuso wa Birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.

IMG_8271

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Frontline Porter Novelli, Hellen Kiwia.

 

IMG_8275

IMG_8239

Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mh. Filiberto Sebregondi (kulia) katika red carpet na baadhi ya wageni waalikwa wengine.

IMG_8241

IMG_8249

IMG_8280

Nancy Kaizilege wa UNESCO.

IMG_8254

IMG_8175

IMG_8178

Third...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani