Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumepunguza sifuri za kujitakia kidato cha nne 2014

Uamuzi wa kuruhusu wanafunzi wanaofeli mtihani huo kuendelea na masomo ya juu, unatajwa kuwa moja ya sababu kubwa zilizochangia ongezeko kubwa la wanafunzi wanaopata daraja sifuri katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sifuri zatawala kidato cha nne

>Licha ya Baraza la Mitihani kueleza kuwa ufaulu katika matokeo ya Kidato cha Nne Mwaka 2013 umeongezeka kwa asilimia 15.17, baadhi ya wadau wa elimu wamesema yawezekana matokeo hayo ama yakawa sawa na yale ya mwaka 2012 au mabaya zaidi.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA QT 2014 HAYA HAPA


 BOFYA LINK HII KUONA NA KUSOMA MATOKEO  YA KIDATO CHA NNE NA QT 2014 .

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kutunuku waliong’ara la 7, Kidato Nne 2014

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kutoa zawadi kwa wanafunzi, shule, halmashauri na mikoa iliyofanya vizuri katika ufaulu katika mitihani ya Darasa la Saba na Kidato cha Nne mwaka 2014.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.Katibu mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde aliliambia gazeti hili wiki hii kuwa “usahihishaji umekamilika na baraza lipo katika uchambuzi wa kuyapanga na tutakapokamilisha tutayatangaza”.Alipoulizwa ni lini hasa matokeo hayo yatatangazwa, Dk Msonde alisema: “Tumemaliza kusahihisha na mchakato wa kuyapanga ukikamilika tutawaeleza hivyo msiwe na shaka.”Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Matokeo kidato cha nne yakamilika

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.

 

10 years ago

Habarileo

Mtihani Kidato cha Nne Jumatatu

MTIHANI wa Taifa wa Kidato cha Nne na Mtihani wa Maarifa wa mwaka 2014 unatarajiwa kufanyika nchini kote kwa takribani siku 20 kuanza keshokutwa huku idadi ya watahiniwa ikiwa pungufu ikilinganishwa na watahiniwa wa mwaka jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani