Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete: Naondoka

Pg 1 (2)SITTA TUMA NA BENJAMIN MASESE

RAIS Jakaya Kikwete jana alitangaza rasmi kuwa kipindi chake cha urais kitakoma Oktoba, mwaka huu, baada ya kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu na kuapishwa kwa rais wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Amesema anajiandaa kumkabidhi mrithi wake orodha ya miradi yote ya maendeleo na mikakati yake ambayo atakuwa hajaikamilisha katika kipindi chake cha miaka 10 ya kuwa madarakani.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana, wakati akitoa hotuba mbele ya maelfu ya wananchi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Boban: Naondoka Coastal

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, huenda  asiongeze mkataba katika kikosi chake hicho. Boban alitua Coastal Union msimu huu mwanzoni baada ya kumaliza mkataba wake na Simba msimu uliopita na kufanikiwa kupewa mkataba wa mwaka mmoja ambao unakaribia kumalizika.
Chanzo cha karibu cha mchezaji huyo, kilisema kuwa kiungo huyo kwa sasa hana...

 

9 years ago

Habarileo

Naondoka nikijivunia medani ya diplomasia, endelezeni - JK

RAIS Jakaya Kikwete amesema anajivunia katika utawala wake alivyokuza diplomasia na nchi mbalimbali na kutaka watendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kumsaidia Rais na mawaziri wanaokuja kukuza uhusiano aliouacha.

 

10 years ago

GPL

Mrisho Ngassa: Nimerudi Yanga kuaga, naondoka

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa, amesema kuwa amerejea kundini kuitumikia timu hiyo kwa moyo mmoja lakini kubwa zaidi ni kuwa anataka kuwaaga mashabiki wa Jangwani. Tangu siku kumi zilizopita, Ngassa hakuonekana Jangwani huku Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Kiboroha akisikika akisema wamedokezwa kuwa staa huyo amekwenda Afrika Kusini kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani