Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naondoka nikijivunia medani ya diplomasia, endelezeni - JK

RAIS Jakaya Kikwete amesema anajivunia katika utawala wake alivyokuza diplomasia na nchi mbalimbali na kutaka watendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kumsaidia Rais na mawaziri wanaokuja kukuza uhusiano aliouacha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kikwete: Naondoka

Pg 1 (2)SITTA TUMA NA BENJAMIN MASESE

RAIS Jakaya Kikwete jana alitangaza rasmi kuwa kipindi chake cha urais kitakoma Oktoba, mwaka huu, baada ya kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu na kuapishwa kwa rais wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Amesema anajiandaa kumkabidhi mrithi wake orodha ya miradi yote ya maendeleo na mikakati yake ambayo atakuwa hajaikamilisha katika kipindi chake cha miaka 10 ya kuwa madarakani.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana, wakati akitoa hotuba mbele ya maelfu ya wananchi...

 

10 years ago

Mwananchi

Endelezeni miradi yenu kwa jamii

Kila mwaka Watanzania hushuhudia mashindano mbalimbali ya urembo. Miss Tanzania ni miongoni mwa mashindano hayo.

 

11 years ago

GPL

Boban: Naondoka Coastal

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, huenda  asiongeze mkataba katika kikosi chake hicho. Boban alitua Coastal Union msimu huu mwanzoni baada ya kumaliza mkataba wake na Simba msimu uliopita na kufanikiwa kupewa mkataba wa mwaka mmoja ambao unakaribia kumalizika.
Chanzo cha karibu cha mchezaji huyo, kilisema kuwa kiungo huyo kwa sasa hana...

 

10 years ago

GPL

Mrisho Ngassa: Nimerudi Yanga kuaga, naondoka

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa, amesema kuwa amerejea kundini kuitumikia timu hiyo kwa moyo mmoja lakini kubwa zaidi ni kuwa anataka kuwaaga mashabiki wa Jangwani. Tangu siku kumi zilizopita, Ngassa hakuonekana Jangwani huku Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Kiboroha akisikika akisema wamedokezwa kuwa staa huyo amekwenda Afrika Kusini kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

Zoezi la Medani la Operesheni Maliza Matata monduli, arusha

 Badhi ya Taswira za Zoezi la Medani la Operesheni Maliza Matata ambalo limeshirikisha mamia ya wapiganaji na maofisa  ambako zimetumika silaha za moto kwa njia ya ndege za kivita, vifaru, makombora na risasi  kwenye Sherehe za Miaka 50 ya JWTZ  kwenye eneo la Langururusu, Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha



 Madhara ya shambulio hilo la mazoezi Kabaaaaang!

 

5 years ago

Michuzi

WATAALAMU WA AFYA ENDELEZENI USIMAMIZI SHIRIKISHI WA AFYA MAZINGIRA SHULENI NA KWENYE JAMII-DKT.GWAJIMA

Naibu Katibu Mkuu akikagua kitabu cha kumbukumbu za Wagonjwa katika moja ya kituo cha Afya mkoani Manyara wakati wa Ziara yake ya kukagua shughuli za Afya katika shule na kwenye jamii.



Naibu Katibu Mkuu akizungumza na uongozi pamoja na wananchi mara baada yakukagua kituo hicho cha Afya kilicho pokea kiasi cha Mil.200 kwaajili ya ujenzi huo (Picha zote na OR-TAMISEMI)



Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, anayeshughulikia Afya, Dkt. Dorothy Gwajima akipata chakula na kuhakiki ubora wa chakula...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha, leo Septemba 5, 2014.Sehemu ya askari wakitoka katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha, leo Septemba 5, 2014. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50‏

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu Mkuu wa JWTZ ,  Luteni  Jenerali  Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya Ardhini wa  JWTZ...

 

5 years ago

Michuzi

STANBIC BANK INAJIVUNIA KUWA MDAU MKUBWA WA MEDANI YA SOKA DUNIANI



NA MWAMVUA MWINYI, BAGAMOYO .
TAASISI ya kifedha ya Stanbic imejivunia,kuwa wadau wakubwa katika medani ya soka, wakigusia michuano mikubwa ya kombe la Dunia na Ligi Kuu ya nchini Uingereza. 
Hatua hiyo ambayo benki hiyo imekuwa ikiichukua katika medani ya michezo hususani soka, imeelezwa kuwa kivutio kikubwa kwa mamilioni ya wapenda soka kutokana na kujitangaza kupitia mashindano hayo. 
Hayo yalielezwa na meneja wa benki ya Stanbic nchini ,Richard Chenga kwa niaba ya Mkurugenzi, akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani