Kili Music Tour 2014: Jinsi wakazi wa Tanga walivyozungusha Kikwetu (Picha)
Mkoa wa Tanga umefunga matamasha ya Kili Music Tour yaliyokuwa yakizunguka mikoa mbalimbali nchini kwa show iliyojaza umati mkubwa wa mshabiki uwanja wa Mkwakwani. Mtangazaji wa EATV Abdallah Hamis Ambuaa “Dulla” akiendesha shindano kwa kina dada wa Tanga waliojitokeza uwanjani kushuhudia Kili Music Tour Tamasha hilo linalodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager lilipambwa na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo516 Aug
Picha: Dodoma yajiandaa kuzungusha Kikwetu Kili Music Tour
10 years ago
Bongo525 Aug
Picha: Kili Music Tour 2014 yaacha historia Kigoma
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm8OKMZb*1lnyvzNTl6OvDwximn3km0CVO1BXriyVTEviNCd5iTCNB0JhX4DDySm7tU9IctK-vVBAihCR5zIDY53/IMG_6657620x400.jpg?width=650)
WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Mzee Yushuph, Kopa kutikisa Kili Music Tour Tanga kesho
MFALME na Malkia wa Taarab, Mzee Yusuph na Khadija Kopa, ni miongoni mwa wasanii wanaotarajiwa kupamba show ya Kili Music Tour inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager itakayofanyika kesho...
10 years ago
GPL10 Sep
KILI MUSIC TOUR 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO
10 years ago
Bongo518 Aug
Kili Music Tour 2014: Wasanii wawasha moto Dodoma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ESy03VwS5ZnmpcUBuN0VMRooXy6shsNizxJScB3T-iQ0qup110EuuXysKt1cUcTROHQB1dUTllUJNIihj6Ox3NM-MMRhSRJH/1KOPA.jpg?width=650)
KHADIJA KOPA NDANI YA KILI MUSIC TOUR 2014 LEADERS CLUB
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Moshi yafunika Kili Music Tour
TAMASHA la kwanza linalohusisha ziara ya wanamuziki zaidi ya 10 linalodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, limeanza kwa kishindo mwishoni mwa wiki ambako zaidi ya wakazi 10,000 walihudhuria na...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Kili Music Tour Mwanza kumekucha
BAADA ya Kilimanjaro Music Tour kuonesha mafanikio makubwa mjini Moshi Jumamosi iliyopita, sasa masikio na macho yanaelekea Mwanza ambako shoo ya aina yake itafanyika kwenye Uwanja wa Kirumba, kesho. Tayari...