Kili Stars moto mkali
TIMU ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, jana ilianza vizuri michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuitandika Somalia kwa mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Addis Ababa, Ethiopia.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
9 years ago
TheCitizen01 Dec
Kili Stars go down fighting
9 years ago
Habarileo10 Nov
Kibadeni kocha Kili Stars
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limemteua Abdallah Kibadeni kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa ajili ya michuano ya Kombe la Chalenji.
9 years ago
TheCitizen12 Nov
Kili Stars open against Somalia
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Maskini, Kili Stars si riziki
KAMA kawaida, wahenga walinena kuwa sikio la kufa halisikii dawa, hivyo ndivyo unavyoweza kuifananisha timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ baada ya jana kuondoka katika michuano ya Kombe la Chalenji...
9 years ago
Habarileo17 Nov
Kibadeni atangaza Kili Stars
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi Novemba 21, nchini Ethiopia.
9 years ago
TheCitizen26 Nov
JK galvanises rampaging Kili Stars
9 years ago
Habarileo28 Nov
Kili Stars, Ethiopia leo
TIMU ya Kilimanjaro Stars leo inashuka dimbani kucheza na wenyeji Ethiopia katika mchezo utakaofanyika Awassa. Tayari timu hiyo imefuzu kucheza robo fainali, lakini ushindi kwao ni muhimu ili kumaliza hatua ya makundi bila ya kufungwa mchezo hata mmoja.
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Kili Stars hakuna kulala