Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARD 2015

KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BANDKIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIVAZI KILICHO TAMBA KWENYE KILIMANJARO MUSIC AWARD NI HIKI CHA MZAZI MWENZIE MH. SUGU


Baada ya Lile vazi alilovaa Siku ya All White Party ya Zari Kuleta Ngumzo Mitandaoni ..Leo Tena Mwanadada Faiza Ally Amekuja na Mpya Kwenye Tuzo za KTMA...Baadhi ya Watu Wamekerwa na Vazi Hilo na Kusema Yafuatayo:Angelayubu Loooh shoga ata kama umaarufu umezidi iyo sasa shombo
Jestina George Sina kawaida hii lakini leo wacha niseme Faiza jamani why?? Not on the red carpet my love Noti Raiti kabisa mamii ake!!! I appreciate ubunifu wako but this is a NO! NO! Juu na mbele sawa kidogo huko nyuma...

 

10 years ago

Mwananchi

Kili Music Award 2015?

Msimu wa utoaji tuzo kwa wasanii wa muziki Tanzania wanaofanya vizuri umewadia huku mchakato wa awali wa mchanganuo wa tuzo hizo za Kili Tanzania Music Awards 2015 (KTMA) ukianza rasmi wiki hii.

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2015 KATIKA PICHA

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda(kulia) akimkabidhi ndugu wa karibu wa Mwanamuziki, Ally Kiba Tuzo ya tano katika hafla ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam. Picha zote kwa hisani ya Father Kidevu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza(kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka kwa niaba ya aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT, Marehemu Kaptani John Komba Tuzo ya udau wa Muziki aliyefanikisha maendeleo ya Muziki (Hall of Fame).

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC NI HAWA

1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - B ora Mchawi, Dar Bongo Massive 2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer  3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee
4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani