Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIVAZI KILICHO TAMBA KWENYE KILIMANJARO MUSIC AWARD NI HIKI CHA MZAZI MWENZIE MH. SUGU


Baada ya Lile vazi alilovaa Siku ya All White Party ya Zari Kuleta Ngumzo Mitandaoni ..Leo Tena Mwanadada Faiza Ally Amekuja na Mpya Kwenye Tuzo za KTMA...Baadhi ya Watu Wamekerwa na Vazi Hilo na Kusema Yafuatayo:Angelayubu Loooh shoga ata kama umaarufu umezidi iyo sasa shombo
Jestina George Sina kawaida hii lakini leo wacha niseme Faiza jamani why?? Not on the red carpet my love Noti Raiti kabisa mamii ake!!! I appreciate ubunifu wako but this is a NO! NO! Juu na mbele sawa kidogo huko nyuma...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARD 2015

KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BANDKIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

GPL

SAJENT ATINGA NA KIVAZI CHA KLABU KWENYE KITCHEN PARTY

MWIGIZAJI Bongo Movies, Husna Idd ‘Sajent’ amewashangaza waalikwa baada ya kutinga na kivazi cha klabu kwenye kitchen party katika Ukumbi wa Mawela, Sinza jijini Dar. Mwigizaji Bongo Movies, Husna Idd ‘Sajent’ (kushoto) akiwa na Shilole. Sajent alipoingia ukumbini aliwafanya watu wote kumgeukia huku baadhi wakihoji namna ambavyo wazazi wa biharusi watamtathmini. Hata hivyo, mwenyewe hakujali kwani...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Aliripoti Polisi Mzazi Mwenzie!!

Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba tangu aachane na Ex boyfriend wake Dickson Matoke aliwahi kuwatishia kuwauwa yeye na mwanae zaidi ya mara 10.

Akizungumza na millardayo.com alisema…“Ni kweli wakati nilipokuwa katika mahusiano naye alikuwa ni mtu ambaye anapenda sana kuniambia neno nitakuuwa mimi na mwanangu ndio maana nilikuwa naogopa sana kwasababu nilihisi kuwa anaweza kufanya lolote kunikomoa na nilienda hadi polisi kuchukua RB yake ili kama lolote...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Mzazi Mwenzie

Staa wa Bongo Movies, aunt Ezekiel amaeamua kuatoboa kuhusu baba mtoto wake Moses Iyobo  kwa kudai kuwa ndiye baba halisi wa mwanae na anampenda kwa dhati  todauti na baadhi ya watu  wanavyomtafsiri kuwa yeye ni mpenda hela!

Aunt aliyaongea hayo katika mahojianao maalumu na kusema kuwa kama kuna watu wanaomtafsiri kama yeye ni mpenda hela na hawezi kujkaa na Iyobo  kiatendo  ambacho sio cha kweli katika moyo wake kwani anachohitaji kutoka kwa Iyobo ni mapenzi tu.

“Nataka ni weke wazi kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jini Kabula Amtaka Mzazi Mwenzie Chuz Aoe

Mwigizaji  wa filamu z kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemtaka mzazi mwenziye, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ aoe ili kulinda heshima yake.

Akizungumzia maisha yake ya uhusiano mbele ya mwanahabari wa GPL, Kabula alisema anajivunia kuzaa na Chuz lakini kwa kuwa yeye hakupanga kuolewa na prodyuza huyo mkongwe, ni bora aoe kwani umri unamtupa mkono.

“Chuz aoe tu sasa umri umeenda. Tena akioa  mimi nitacheza muziki balaa siku hiyo, si unajua mambo yangu. Mbaya zaidi sina kabisa wivu naye,”...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Avril wa Kenya na kivazi cha mitego kilichomuweka kwenye ‘headlines’ weeked iliyopita

Avril , mwimbaji mrembo wa Kenya weekend iliyopita alimua kuonesha kile Mungu alichomjaalia (uzuri) kwa kuvaa kivazi cha ‘mitego’ alipotumbuiza kwenye tamasha la Extravagaza Concert. Arvil alishare picha hizo Instagram na kuandika kwenye moja wapo ya picha “Awesome night at #ExtravaganzaKE !!! Thank you @achieotigo for the fabulous dress shirt. Let me sit and see […]

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown na mzazi mwenzie waweka tofauti pembeni kumlea pamoja mtoto wao Royalty

Chris Brown na mzazi mwenzie, Nia Guzman wamemaliza tofauti zao ili kushirikiana pamoja kumlea mtoto wao, Royalty mwenye umri wa mwaka mmoja. Vyanzo vilivyo karibu na Chris na Nia vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa wawili hao hivi karibuni walikubaliana kumlea mtoto wao kwa amani. Wameamua kumpeleka pamoja kwenye mazoezi ya kuogelea, shuleni na michezo mbalimbali. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani