Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilimanjaro yatenga vituo vinne vya ebola

MKOA wa Kilimanjaro umetenga vituo vinne kwa ajili ya karantini ya wagonjwa wa ebola iwapo watathibitishwa kitaalamu kwamba wanaugua ugonjwa huo ili kuepuka madhara zaidi kwa jamii inayowazunguka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA OXFAM LAKABIDHI VITUO VYA KUSINDIKA NA KUHIFADHI MAZIWA KWA WANAWAKE WA VIJIJI VINNE VYA WILAYA YA NGORONGORO

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua  rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijalibisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.
  Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula wa kwanza kushoto akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha Engaresero...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Oxfam lakabidhi vituo vya kusindika na kuhifadhi maziwa kwa wanawake wa vijiji vinne wilaya ya Ngorongoro

Mkurugenzi-akionyeshwa-vipima-joto-na-vifaa-vingine-vilivyokabidhiwa-kwa-wanakikundi

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua  rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa.

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijaribisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.

 

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro, John Kulwa Mgalula (kushoto) akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania.

Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

YOLANDA SHAYO BALOZI WA MKOA WA KILIMANJARO ATEMBELEA VITUO VYA WATOTOTO YATIMA

Mrembo aliebuka kidedea kwenye shindano la kumsaka barozi wa mkoa wa Kilimanjaro 2015,Yolanda Shayo ametembelea vituo vya watoto yatima katika eneo la mamba Malangu moshi vijijini. Shughuli hiyo ilifanyika mapema jana ambapo mrembo huyo alitembelea vituo vinee ambavyo ni Msoroe,Mrieni,Kikoro na kotela kwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto na kula nao chakula cha pamoja kilichoandaa kwaajili ya watoto hao. Baadhi ya vitu vilivyotolewa na mrembo huyo ni kalamu,madaftari,rula na sabuni za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa mkoa wa Kilimanjaro, Yolanda Shayo atembelea vituo vya watoto yatima

DSC03988

Mrembo aliebuka kidedea kwenye shindano la kumsaka barozi wa mkoa wa Kilimanjaro 2015, Yolanda Shayo (pichani) ametembelea vituo vya watoto yatima katika eneo la Mamba Marangu Moshi vijijini.

Shughuli hiyo ilifanyika mapema jana ambapo mrembo huyo alitembelea vituo vinne ambavyo ni Msoroe, Mrieni,Kikoro na Kotela kwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto na kula nao chakula cha pamoja kilichoandaa kwaajili ya watoto hao.

Baadhi ya vitu vilivyotolewa na mrembo huyo ni kalamu,madaftari,rula na...

 

10 years ago

Habarileo

Tanga yataja vituo 3 vya kudhibiti ebola

MKOA wa Tanga umetenga vituo kadhaa vya afya vitatu, ikiwa ni hatua ya maandalizi ya kudhibiti watu watakaobainika kuambukizwa virusi vya homa ya ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yatenga fedha kukabili Ebola

Nigeria imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kama janga la kitaifa na kutenga dola millioni 11 kukabiliana na ugonjwa huo

 

5 years ago

Michuzi

Visa vinne vipya vya coronavirus vyathibitishwa Kenya

Kulingana na waziri Kagwe visa vinne vilivyoongezeka vya COVID-19 vinalifanya taifa hilo kuwa na jumla ya visa 42, tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa tarehe 13 Machi.

Visa hivyo ni pamoja na Mkenya mmoja, raia mmoja wa Cameroon, Mmarekani mmoja na raia mmoja wa Burkina Faso . Akitoa taarifa kuhusu janga la coronavirus

Bwana Kagwe amewashauri Wakenya wote kushirikiana kuzuwia maambukizi ya corona badala ya kuuachia mzigo huo serikali pekee:'' Tunahitaji kufikiria jinsi ya kushughulikia...

 

5 years ago

CCM Blog

VISA VINNE VIPYA VYA CORONA VYATHIBITISHWA KENYA


Kulingana na waziri Kagwe visa vinne vilivyoongezeka vya COVID-19 vinalifanya taifa hilo kuwa na jumla ya visa 42, tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa tarehe 13 Machi.

Visa hivyo ni pamoja na Mkenya mmoja, raia mmoja wa Cameroon, Mmarekani mmoja na raia mmoja wa Burkina Faso . Akitoa taarifa kuhusu janga la coronavirus

Bwana Kagwe amewashauri Wakenya wote kushirikiana kuzuwia maambukizi ya corona badala ya kuuachia mzigo huo serikali pekee:'' Tunahitaji kufikiria jinsi ya kushughulikia tatizo...

 

9 years ago

StarTV

Vijiji vinne vya wilayani Muheza kunufaika na mradi wa maji

Vijiji vinne vya Milingano, Muungano, Kibaoni na Upare wilayani Muheza mkoani Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.

Mradi huo ambao unagharimu zaidi ya shilingi bilioni moja utahudumia wakazi zaidi ya elfu saba.

 Mradi wa maji wa kijiji cha Mlingano ambao chanzo chake kimeanzia katika mto Zigi uliopo wilayani Muheza mkoani Tanga.

Wananchi wa maeneo hayo wanauona mradi huo kama almasi baada ya kusumbuka kwa muda mrefu wakifuata huduma hiyo mto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani