Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VISA VINNE VIPYA VYA CORONA VYATHIBITISHWA KENYA


Kulingana na waziri Kagwe visa vinne vilivyoongezeka vya COVID-19 vinalifanya taifa hilo kuwa na jumla ya visa 42, tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa tarehe 13 Machi.

Visa hivyo ni pamoja na Mkenya mmoja, raia mmoja wa Cameroon, Mmarekani mmoja na raia mmoja wa Burkina Faso . Akitoa taarifa kuhusu janga la coronavirus

Bwana Kagwe amewashauri Wakenya wote kushirikiana kuzuwia maambukizi ya corona badala ya kuuachia mzigo huo serikali pekee:'' Tunahitaji kufikiria jinsi ya kushughulikia tatizo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Visa vinne vipya vya coronavirus vyathibitishwa Kenya

Kulingana na waziri Kagwe visa vinne vilivyoongezeka vya COVID-19 vinalifanya taifa hilo kuwa na jumla ya visa 42, tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa tarehe 13 Machi.

Visa hivyo ni pamoja na Mkenya mmoja, raia mmoja wa Cameroon, Mmarekani mmoja na raia mmoja wa Burkina Faso . Akitoa taarifa kuhusu janga la coronavirus

Bwana Kagwe amewashauri Wakenya wote kushirikiana kuzuwia maambukizi ya corona badala ya kuuachia mzigo huo serikali pekee:'' Tunahitaji kufikiria jinsi ya kushughulikia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Visa vinne vipya vya coronavirus vyathibitishwa Kenya

Waziri wa Afya nchini Kenya amesema kuwa visa vingine vinne vya coronavirus vimethibitishwa baada ya watu hao kupimwa.

 

5 years ago

Michuzi

Kenya yatangaza visa 8 vipya vya ugonjwa wa corona

Waziri wa afya wa Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa watu wengine wanane wamethibitishwa kuwa na ugonjwa wa corona nchini humo. Ongezeko hilo linafikisha 15 idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo hatari.

Walioambukizwa ni Wakenya watano na raia watatu wa kigeni walio na umri wa kati ya miaka 20 hadi 57.

Wanane hao waliingia nchini kupitia uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta kati ya Machi 4 na 17.

Serikali kwa sasa inafanya juhudi ya kuwatafuta waliotangamana nao ili kudhibiti...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yathibitisha visa vinne , raia waagizwa kuvaa barakoa

Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kwamba Kenya imethibitisha visa vinne zaidi vya virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yatangaza visa 8 vipya vya ugonjwa wa corona

Ongezeko hilo linafikisha 15 idadi ya wagonjwa waliambukizwa virusi vya corona nchini Kenya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya visa vya corona Kenya imefikia 189, baada ya kuongezeka visa 5 Ijumaa

Idadi ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imefikia hadi 189, baada ya kuongezeka visa 5 Ijumaa, imetangaza Wizara ya afya nchini humo

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtoto wa miezi 10 miongoni mwa visa vipya vya virusi vya corona Rwanda

Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yatangaza visa 28 zaidi vya maambukizi ya Covid-19

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imepanda hadi kufikia jumla ya watu 649 Jumamosi, baada ya kutangazwa kwa matokeo chanya vya virusi katika sampuli za watu 28 miongoni mwa waliopimwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani