KIM AJIVUNIA KANYE WEST KUITWA DOKTA
![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXX6a*sDO7SNArpu1fRyaysz3nv-AAa*Vvzlidpa-uKtM25PL1-2lpqKQPwC7tFj1jzv9piuFa0NiSNPSQjOvfOx/kim.jpg?width=650)
Mwanamitindo na mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian. Chicago, Marekani MWANAMITINDO na mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian ameonesha furaha sambamba na kujivunia mumewe, Kanye West kutunukiwa shahada ya udaktari wa sanaa (PHD) katika Chuo cha School of Art Institute jijini Chicago. Kanye West alipotunukiwa shahada hiyo. Kupitia ukurasa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Kanye West ampa Kim bonge la zawadi
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wao wa pili ‘Saint’, mkali huyo wa hip hop ameamua kumpa zawadi mke wake ya Sh bilioni 2.
Msanii huyo ameamua kuonesha jeuri ya fedha ikiwa ni shukrani kwa mke wake kwa ajili ya kumzalia mtoto wa pili.
Kanye alifanya hivyo ikiwa ni siku chache tangu Kim ajifungue mtoto huyo ambaye kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa Jarida la People la Marekani, limeandika kwamba Kanye amekuwa mtu wa furaha...
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Kim, Kanye West wapata mtoto kabla ya Krismasi
LAGOS, NIGERIA
LICHA ya kujitabiria kwamba wangepata mtoto wa pili kipindi cha sikukuu ya Krismasi, mkali wa hip hop, Kanye West na mke wake, Kim Kardashian, wamefanikiwa kupata mtoto wa pili wa kiume juzi.
Kupitia mtandao wa Twitter, Kim aliandika kwamba, “Tulikuwa tunakusubiri kwa muda mrefu, hatimaye muda umefika, karibu sana mwanangu,” aliandika Kim akimkaribisha mdogo wa North West.
Kim pia aliandika katika ‘Website’ yake kwamba, ‘‘Kim Kardashian West na Kanye West wamefanikiwa kupata...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-Z3yQUxyYcl8/Va-3G5gxHKI/AAAAAAAACwQ/1CZX_W-pEU4/s72-c/rs_1024x759-140526212702-1024-3kim-kardashian-kanye-west-wedding.ls.52614_copy.jpg)
PHOTOS: KIM & KANYE WEST WEDDING ALBUM
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z3yQUxyYcl8/Va-3G5gxHKI/AAAAAAAACwQ/1CZX_W-pEU4/s640/rs_1024x759-140526212702-1024-3kim-kardashian-kanye-west-wedding.ls.52614_copy.jpg)
Kim Kardashian and Kanye West tied the knot at the Forte di Belvedere in Florence, Italy, back in May 2014. To commemorate the once-in-a-lifetime event, Kim took to Instagram to share some never-before-seen snaps from the day, including new shots from the photo booth and the carriage ride at Versailles in France. One year ago, the bride wore a Givenchy Haute Couture gown and was walked down the aisle by her stepfather, Bruce Jenner, while the rest of her family — including sisters Khloé and...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GNPHxMPWE-2Ee36RpsHvSSZD-cx8t*yT9fvbXA*HjV9N8NwCvJbBP7GM9RO-41*zIu5Sy8sT2-PIuHpg2W6O-MyKft5bij3H/article26406111E3EFF1100000578490_964x728.jpg?width=650)
MUONEKANO WA KIM, KANYE WEST SIKU YA NDOA YAO
9 years ago
Bongo506 Dec
Kanye West na Kim Kardashian wapata mtoto wa kiume
![kim na kanye](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kim-na-kanye-300x194.jpg)
Hatimaye mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amejifungua mtoto wao wa pili, wa kiume siku ya Jumamosi Asubuhi (Dec .5).
Kim aliandika taarifa ya kujifungua kupitia website yake. “Kim Kardashian West and Kanye West welcomed the arrival of their son this morning. Mother and son are doing well,” ulisomeka ujumbe huo.
He's here! https://t.co/KlWQrG3Ri9 pic.twitter.com/NRLQCeQ5H4
— Kim Kardashian West (@KimKardashian) December 5, 2015
Mpaka sasa Kim na Kanye bado hawajasema jina la mtoto...
9 years ago
Bongo527 Oct
Kanye West kufanya wimbo wa pamoja na mkewe Kim Kardashian?