Kinana aanza rasmi ziara
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.




Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea Kagera.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye kituo cha mabasi mjini Morogoro maarufu kama Msamvu ambapo aliwaambia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA RASMI ZIARA YAKE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA LEO


11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA ZIARA YAKE RASMI WILAYANI NKASI LEO MKOANI RUKWA


10 years ago
Vijimambo
KINANA AANZA ZIARA



10 years ago
Habarileo22 Mar
Kinana aanza ziara Kilimanjaro leo
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuanza ziara ya siku tisa mkoani Kilimanjaro leo, ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kuimarisha chama hicho kwa wananchi.
11 years ago
Vijimambo
KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MUFINDI






10 years ago
Vijimambo
KINANA AANZA ZIARA MKOANI MTWARA



10 years ago
Vijimambo
KINANA AANZA ZIARA ZANZIBA LEO
Apata mapokezi wakubwa wilaya ya mjiniAshiriki kazi za kijamiiAsisitiza viongozi wasaidie wananchi kuipata,kuisoma na kuielewa Katiba iliyopendekezwa kwani ina masuala yote ambayo Wazanzibari wanahitaji


10 years ago
Vijimambo
KINANA AANZA ZIARA MISUNGWI LEO



11 years ago
Vijimambo
KINANA AANZA ZIARA MKOANI TANGA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
