Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AANZA ZIARA MISUNGWI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakipanda Kivuko cha Mv Misungwi, kutoka Feri ya Kigongo wilayani Sengerema kwenda Kivuko cha Usagara kwenda  jimbo la Misungwi kuendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika mkoa wa Mwaza leo. Katibu kuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshana miamba ya mawe katika ziwa Vicoria wakati wakiwa kwenye kivuko mv Misungwi, wakati wakienda jimbo la Misungwi leo.
 Miamba ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AANZA ZIARA NDANI YA JIMBO LA MISUNGWI AKITOKEA SENGEREMA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Msafara wake wakiingia kwenye kivuko cha Mv Misungwi katika feri ya Busisi mara baada ya kumaliza ziara yake wilaya ya Sengerema mapema leo asubuhi kuelekea wilaya ya Misungwi tayari kwa kuendelea na ziara yake ndani ya jiji la Mwanza Mbunge wa Jimbo la Sengerema,Mh.William Ngeleja (wa pili kulia) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana wakitazama kivuko cha Mv Sengerema iliyokuwa ikielekea katika feri ya Kigongo walipokuwa ndani ya Mv...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana aanza ziara Kilimanjaro leo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuanza ziara ya siku tisa mkoani Kilimanjaro leo, ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kuimarisha chama hicho kwa wananchi.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA ZANZIBA LEO


Apata mapokezi wakubwa wilaya ya mjiniAshiriki kazi za kijamiiAsisitiza viongozi wasaidie wananchi kuipata,kuisoma na kuielewa Katiba iliyopendekezwa kwani ina masuala yote ambayo Wazanzibari wanahitaji Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na kijana wa Chipukizi kama ishara ya kukaribishwa Wilaya ya Mjini katika Tawi la mjini ambapo alisomewa taarifa fupi za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.
 Mwanachama wa CCM akiwa amejipamba kwa aina yake...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.



 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye kituo cha mabasi mjini Morogoro maarufu kama Msamvu ambapo aliwaambia wananchi hao...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA WILAYA YA MISUNGWI



 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Misungwi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Amani ikiwa muendelezo wa ziara za kukagua,kuhimiza na kusukuma utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
 Umati wa wakazi wa Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia kwenye uwanja wa Amani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Misungwi ambapo aliwaambia hakuna namna CCM...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AANZA ZIARA MKOANI KAGERA LEO, AKUTANA NA MAKUNDI YA WAFUGAJI KANDA YA ZIWA.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipokelewa mapema leo katika uwanja wa shule ya msingi Nyakanazi,Wilayani Biharamulo  mkoani Kagera,ambapo pia aliwasalimia wananchi wa kijiji hicho tayari kwa kuanza ziara rasmi mkoni humo.
Kinana yupo Mkoani humu kwa ziara ya kikazi ya siku kumi ya Kukagua utelekezwaji wa Ilani ya Chama cha CCM ya mwaka 2010 pamoja na kuimarisha chama na kusikiliza matatizo ya wananchi.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia Wananchi wa kijiji cha Nyakanazi pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA ZIARA YAKE RASMI WILAYANI NKASI LEO MKOANI RUKWA

 Pichani juu na chini ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa Halamshauri ya mji mdogo wa Namanyere Wialayani Nkasi jioni ya leo,kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika nje ya uwanja wa Ofisi za chama hicho.Kinana alieleza kuwa kufuatia na taarifa mbalimbali alizokabidhiwa na Viongozi wa chama wilayani humo,alieleza kuwa wilaya ya Nkasi ina kero kadhaaa ikiwemo suala la Maji,Umeme,Uhaba wa walimu,Barabara pamoja na tatizo la soko la kuuza mazao ya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA LEO.




 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikatiza kwenye moja ya mtaro alipokwenda kukagua na kushiriki kulima katika shamba la mkulima bora wa mwaka 2014,Bi.Anna Mlewa katika kijiji cha Berege,wilaya ya Mpwapwa. Kinana ameanza ziara ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua,kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi 2010 pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Pichani Kati ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameongoza na Mkulima bora wa mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA RASMI ZIARA YAKE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata maelezo mafupi kutoka kwa wenyeji wake kuhusiana na ujenzi wa hatua za awali za bandari ya Kabwe,wilayani Nkasi mkoani Rukwa.
 Katibu Mkuu wa CCM;ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Kirando,wilayani Nkasi mapema leo.Kinana alisema kuwa tahakikisha Barabara ya kutoka Sumbawanga mjini kwenda kijiji cha kabwe itatengenezwa kwa kiwango cha lami."Nitaenda na mbunge wenu kushinikisha suala la barabara hii ili ijengwe kwa kiwango cha lami na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani