Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA KINANA WILAYA YA MISUNGWI



 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Misungwi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Amani ikiwa muendelezo wa ziara za kukagua,kuhimiza na kusukuma utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
 Umati wa wakazi wa Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia kwenye uwanja wa Amani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Misungwi ambapo aliwaambia hakuna namna CCM...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA MISUNGWI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakipanda Kivuko cha Mv Misungwi, kutoka Feri ya Kigongo wilayani Sengerema kwenda Kivuko cha Usagara kwenda  jimbo la Misungwi kuendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika mkoa wa Mwaza leo. Katibu kuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshana miamba ya mawe katika ziwa Vicoria wakati wakiwa kwenye kivuko mv Misungwi, wakati wakienda jimbo la Misungwi leo.
 Miamba ya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AANZA ZIARA NDANI YA JIMBO LA MISUNGWI AKITOKEA SENGEREMA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Msafara wake wakiingia kwenye kivuko cha Mv Misungwi katika feri ya Busisi mara baada ya kumaliza ziara yake wilaya ya Sengerema mapema leo asubuhi kuelekea wilaya ya Misungwi tayari kwa kuendelea na ziara yake ndani ya jiji la Mwanza Mbunge wa Jimbo la Sengerema,Mh.William Ngeleja (wa pili kulia) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana wakitazama kivuko cha Mv Sengerema iliyokuwa ikielekea katika feri ya Kigongo walipokuwa ndani ya Mv...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MISUNGWI,KESHO KUVAMIA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto), akishiriki kupalilia katika shamba la dengu la mwanakijiji cha Manawa, Kata ya Misasi, Luhoyo Mwilima (Wanne kulia), akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana,Leo aliendelea na ziara yake katika jimbo la Misungwi linaloongozwa na Mh. Charles Kitwanga ambaye pia ni naibu Waziri wa Nishati na Madini akitembelea maeneo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kinana wilaya ya Hai

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchimba msingi wa darasa katika shule ya msingi Modio,Masama Mashariki wilaya ya Hai.

Shule ya msingi Modio ilikumbwa na tetemeko la ardhi ambapo vyumba viwili vya madarasa,bwalo la chakula na ofisi ya walimu viliathirika.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kitongoji cha Kiyungi kwenye daraja la MNEPO

 Daraja la linalounganisha wilaya ya Hai katika kijiji cha Mijungweni na wilaya ya Moshi vijijini katika...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA WILAYA YA MBONGWE








Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Kashelo kata ya Lulembera ,wilaya ya Mbogwe ,Geita.
Katibu Mkuu wa CCM yupo kwenye ziara ya kujenga na kuimarisha Chama mkoani Geita pamoja na Kukagua,Kuhimiza na Kusimamia utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM.





.



Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi  wa Kata ya Bwelwa.



Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi nyumba ya mwalimu wa shule ya sekondari...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA WILAYA YA MISSENYE

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera ikiwa muendelezo wa ziara za kujenga na kuimarisha chama, kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Missenyi wakifurahia jambo wakati wa hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye anafanya ziara nchi nzima ya kujenga na kuimarisha chama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA WILAYA YA CHATO

Ataka kodi zinazo wakandamiza wananchi ziondolewe Wanachama wapya 361 wajiunga na CCM Chato mjini Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Chato ikiwa siku yake ya kwanza ya ziara mkoani Geita baada ya kumaliza ziara ya siku 10 mkoa wa Kagera.Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kukagua,kuhimiza na kusukuma utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.Umati wa wakazi wa Chato mjini wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MUFINDI


 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.
Baadhi Wajumbe waliohudhuria mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mafinga Kaskazini
 Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mufindi Kaskazini
 Mwenyekiti wa Wazee Waasisi wa CCM wilaya ya Mufindi Mzee Raphael Ngogo akisoma risala ya Wazee kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 Wajumbe wakiimba nyimbo za kumkaribisha Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara wilaya ya Ngorongoro

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Arash wilaya ya Ngorongoro,ambao  walimueleza Katibu Mkuu wa CCM kero zao,ikiwemo tatizo la kuchomewa makazi yao na askari wa hifadhi pamoja na tatizo la maji.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa mkutano na Baraza la wafugaji,Viongozi wa Kata na Viongozi wa Kimila.

 Wajumbe wa baraza la wafugaji,viongozi wa kata na viongozi wa kimila wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani