KINANA AANZA ZIARA
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Kinana aanza rasmi ziara
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye kituo cha mabasi mjini Morogoro maarufu kama Msamvu ambapo aliwaambia...
10 years ago
VijimamboKINANA AANZA ZIARA ZANZIBA LEO
Apata mapokezi wakubwa wilaya ya mjiniAshiriki kazi za kijamiiAsisitiza viongozi wasaidie wananchi kuipata,kuisoma na kuielewa Katiba iliyopendekezwa kwani ina masuala yote ambayo Wazanzibari wanahitaji Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na kijana wa Chipukizi kama ishara ya kukaribishwa Wilaya ya Mjini katika Tawi la mjini ambapo alisomewa taarifa fupi za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.
Mwanachama wa CCM akiwa amejipamba kwa aina yake...
10 years ago
VijimamboKINANA AANZA ZIARA MISUNGWI LEO
Miamba ya...
10 years ago
VijimamboKINANA AANZA ZIARA MKOANI MTWARA
10 years ago
VijimamboKINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MUFINDI
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.
Baadhi Wajumbe waliohudhuria mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mafinga Kaskazini
Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mufindi Kaskazini
Mwenyekiti wa Wazee Waasisi wa CCM wilaya ya Mufindi Mzee Raphael Ngogo akisoma risala ya Wazee kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Wajumbe wakiimba nyimbo za kumkaribisha Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
10 years ago
Habarileo22 Mar
Kinana aanza ziara Kilimanjaro leo
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuanza ziara ya siku tisa mkoani Kilimanjaro leo, ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kuimarisha chama hicho kwa wananchi.
11 years ago
Dewji Blog28 May
Kinana aanza ziara ya Mkoa wa Manyara
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Katesh wilayani Hanang ambapo aliwaambia wananchi wanapaswa kushirikiana na serikali yao katika kuleta maendeleo na kuachana na mambo mengi yanayoendelea kwenye siasa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katesh kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo ambapo aliwaambia wananchi CCM imejipanga vizuri sana kiasi cha wananchi wengi kuendelea kuiamini ,alisisitiza nchi nzima ofisi za CCM...
10 years ago
VijimamboKINANA AANZA ZIARA MKOANI TANGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Handeni ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdala Kigoda wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu ,Mkata wilaya ya Handeni mkoani Tanga.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia ngoma ya asili ya Kizigua
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa Mkata wilayani Handeni waliojitokeza kwenye mapokezi ya katibu Mkuu wa...
10 years ago
GPLKINANA ATUA MWANZA, AANZA ZIARA KWA KISHINDO