Kinana akagua mradi wa maji Kasulu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasabahi wananchi wa kijiji cha Nyumbigwa ambapo alikagua mradi wa maji.
![](http://3.bp.blogspot.com/-5312l44Nquc/U0UHSe8U5iI/AAAAAAAAM_4/8Jn7kjOucbM/s1600/4.jpg)
Mbunge wa Viti Maalum Josephine Gezabuke akizungumza na wananchi wakati waziara ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana kukagua mradi wa maji wa kijiji cha Nyumbigwa .
![](http://2.bp.blogspot.com/-dXcbMykoZn0/U0UHclvghFI/AAAAAAAANAA/1xWtX72hPiA/s1600/1.jpg)
Diwani wa Kata ya Nyumbigwa Benjamini Chalukula akiwa amebebwa juu na wananchi wa kata yake ikiwa ishara ya kuwatumikia vizuri wakati Katibu Mkuu wa CCM alipofanya ziara kwenye kata hiyo iliyopo wilaya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-atZi8i1Yd_U/U0Vfvzm4h0I/AAAAAAAFZgM/uumnCAwK2CY/s72-c/unnamed+(43).jpg)
KINANA AUNGURUMA KASULU, AKAGUA MRADI WA MAJI
![](http://4.bp.blogspot.com/-atZi8i1Yd_U/U0Vfvzm4h0I/AAAAAAAFZgM/uumnCAwK2CY/s1600/unnamed+(43).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-lNr4NAApv8E/U0UHARiFBlI/AAAAAAAAM_o/p7XoNzbfPFg/s1600/2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rDNJkJzQ0SY/U0Wak5LrGgI/AAAAAAACefA/FamKeM9_pQc/s72-c/5.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI KASULU LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI NA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA 500
![](http://4.bp.blogspot.com/-rDNJkJzQ0SY/U0Wak5LrGgI/AAAAAAACefA/FamKeM9_pQc/s1600/5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1m4kjEOXqpY/U0WanSiGz9I/AAAAAAACefI/zaEo6SqZysY/s1600/6.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-o60cnmOkW-Y/U0WaB2AS_jI/AAAAAAACeeI/EGkTpc601S0/s1600/17.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-byhRmhnSq9A/VYhauNbjmEI/AAAAAAAC7SU/PW6OWEKHfjs/s72-c/15.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI
![](http://4.bp.blogspot.com/-byhRmhnSq9A/VYhauNbjmEI/AAAAAAAC7SU/PW6OWEKHfjs/s640/15.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-NP8v4adA1L4/VYhayw9EaSI/AAAAAAAC7S8/koQqWmtO87Q/s640/19.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-YRUzuGeZk9g/VdTlI8djt9I/AAAAAAAHyVg/5DmJ5F1CP6o/s72-c/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda
Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla amekagua mradi mkubwa wa maji utakaohudumia wananchi wa mji wa Bunda na vijiji 13 vilivyopo karibu na chanzo na vitakavyopitiwa na bomba kuelekea mji wa Bunda Kwa mujibu wa injinia Gantala Gantala mkurugenzi wa mamlaka ya maji musoma ambao ndiyo wasimamizi wa ujenzi wa mradi huo kwa niaba ya wizara ya maji ameleza kuwa mahitaji ya maji sasa kwa wananchi wa mji wa Bunda ni lita milioni 5 kwa siku wakati uzalishaji wa sasa maji ni lita milioni moja na...
9 years ago
VijimamboNAIBU WAZIRI WA MAJI MH. AMOS MAKALLA AKAGUA MRADI WA MAJI KATIKA MJI WA GEITA
Naibu waziri wa maji Amos Makalla leo ametembelea mradi unaotekelezwa kwa ushirikiano wa serikali na mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) wa uboreshaji huduma ya maji kwa mji wa Geita
Mradi huu unagharimu fedha sh 10 bilioni ambao kukamilika kwake kutaongeza huduma ya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hCFaPLZwkf8/VQq47lDu_0I/AAAAAAAAGns/-inH7sbQC8M/s72-c/IMG_5432.jpg)
ENG. STELLA MANYANYA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA MAJI SAFI NA MAJI TAKA SUMBAWANGA MJINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-hCFaPLZwkf8/VQq47lDu_0I/AAAAAAAAGns/-inH7sbQC8M/s1600/IMG_5432.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-E7F4kRMiW2I/U0AVIj_fnHI/AAAAAAACeL8/LdMkIhFlqFA/s72-c/IMG_3498.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAGUA MIRADI YA MAJI TAKA NA MAJI SAFI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-E7F4kRMiW2I/U0AVIj_fnHI/AAAAAAACeL8/LdMkIhFlqFA/s1600/IMG_3498.jpg)
10 years ago
MichuziKINANA AZINDUA MRADI WA MAJI MUYUYU NA KIKUNDI CHA UTENGENEZAJI BATIKI KIBITI RUFIJI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania