KINANA ALIVYOITEKA BUKOMBE

Ahutubia mikutano saba ya hadhara, ikiwemo mitatu katika kata moja ya UyovuAkutana na makundi ya vijana wanaofuga samaki na wachimbaji wadogo wadogo wa madini Ashiriki ujenzi wa madarasaAtembelea miradi 8 ndani ya kilomita 163 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Tawi la Busonzo wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
Gari iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikikatiza kwenye mto kuelekea kijiji cha Namalandulu,wilaya ya Bukombe mkoani...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboCOMRADE MWIGULU NCHEMBA ATUA BUKOMBE,SASA JIMBO LA BUKOMBE MIKONONI MWA CCM
10 years ago
Michuzi
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA WILAYA YA BUKOMBE MKOAN GEITA.

Baada ya uwekaji wa jiwe la msingi...
10 years ago
VijimamboKINANA ASAFIRI KWA BODABODA KWENDA KUKIOKOA KIJIJI CHA ILYAMCHELE KISICHOKUWA NA SHULE WILAYANI BUKOMBE
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Bukombe hatarini kukumbwa na kipindupindu
WANANCHI wa eneo la soko la chakula la mji mdogo wa Ushirombo, wilayani Bukombe, Geita, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na dampo la taka kufurika. Diwani wa...
11 years ago
Mwananchi07 Sep
Majambazi wafanya kufuru Bukombe