Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bukombe hatarini kukumbwa na kipindupindu

WANANCHI wa eneo la soko la chakula la mji mdogo wa Ushirombo, wilayani Bukombe, Geita, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na dampo la taka kufurika. Diwani wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

UDSM yakana chuo kukumbwa kipindupindu

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amesema wanafunzi wawili wa chuo hicho Kampasi ya Mlimani walioripotiwa kuumwa tumbo, hawana ugonjwa wa kipindupindu, bali walipata adha hiyo baada ya kula kwenye mgahawa wa Cafeteria One chuoni hapo.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania hatarini kukumbwa na magonjwa yasioambukizwa

Serikali na wadau wa afya nchini wametakiwa kuleta jitihada za pamoja   ili kuweza kuisaidia jamii kupata elimu ya kutosha kuhusu namna ya kukabiliana na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza kama vile saratani,kisukari,moyo na pumu.

Watu wengi nchini wanakumbwa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na kuishi mtindo wa maisha usiofaa kiafya.

Magonjwa yasiyoambukiza ni magonjwa ambayo yapo ndani ya jamii maskini na tajiri lakini mapambano dhidi yake hayapewi kipaumbele cha kutosha kama...

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya wakazi 5,000 hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko

SAM_0061

Choo cha muda kinachotumiwa na wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya msingi TARU namba saba. (Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_0066

Baadhi ya wananchi wa kata ya Mang’onyi wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu kumnadi mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.

Na Jumbe Ismailly, Ikungi            

ZAIDI ya wakazi 5,000 wa Kijiji cha Sambaru,kata ya Mang’onyi,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida wamo hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kujisaidia vichakani kwa kutokuwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA ATUA BUKOMBE,SASA JIMBO LA BUKOMBE MIKONONI MWA CCM

    Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma "KING" Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM,Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.J.P.Magufuli kwasababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu

Na  Raymond Mushumbusi- MAELEZO
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ALIVYOITEKA BUKOMBE

Ahutubia mikutano saba ya hadhara, ikiwemo mitatu katika kata moja ya UyovuAkutana na makundi ya vijana wanaofuga samaki na wachimbaji wadogo wadogo wa madini Ashiriki ujenzi wa madarasaAtembelea miradi 8 ndani ya kilomita 163 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Tawi la Busonzo wilaya ya Bukombe mkoani Geita.

 Gari iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikikatiza kwenye mto kuelekea kijiji cha Namalandulu,wilaya ya Bukombe mkoani...

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi wafanya kufuru Bukombe

>Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Bukombe mkoani Geita kimevamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za kivita pamoja na mabomu, na kuwaua askari polisi wawili na wengine wawili kujeruhiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji ya vikongwe yazidi kutikisha Bukombe

Wakazi wawili wa Kijiji cha Iyogelo, Kata ya Lulembela, wilayani Mbogwe, mkoani Geita, Mariamu Mulahi (70) na Helena Mulekwa (42) wameuawa kwa kukatwa mapanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi kukumbwa na ukame

>Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwelekeo wa mvua za masika katika kipindi cha Machi mpaka Mei na kusema kuwa hali ya mvua haitarajiwi kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani