Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi kukumbwa na ukame

>Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwelekeo wa mvua za masika katika kipindi cha Machi mpaka Mei na kusema kuwa hali ya mvua haitarajiwi kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kukumbwa na ukame

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za masika hazitarajiwi kuwa za kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TMA: Ukame kuishambulia nchi masika




NA WILLIAM SHECHAMBO KIWANGO cha mvua katika msimu wa mwaka huu wa masika ni kidogo kwenye maeneo mengi ya nchi hali inayoweza kusababisha ukame endapo Watanzania hawatazitumia kwa busara mvua chache zinazotarajiwa kunyesha nchini. Utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), juu ya mwelekeo wa mvua kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia sasa, ulisema licha ya maeneo mengi ya nchi kutarajia mvua za wastani, maeneo mengine mvua zitakuwa kubwa. Baadhi ya maeneo hayo ni kanda ya Ziwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bukombe hatarini kukumbwa na kipindupindu

WANANCHI wa eneo la soko la chakula la mji mdogo wa Ushirombo, wilayani Bukombe, Geita, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na dampo la taka kufurika. Diwani wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sudani Kusini kukumbwa na vikwazo

Marekani imetoa Pendekezo la maazimio ya kuweka vikwazo kwa baadhi ya Watu wanaozorotesha hali ya siasa nchini Sudani Kusini

 

9 years ago

Habarileo

UDSM yakana chuo kukumbwa kipindupindu

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amesema wanafunzi wawili wa chuo hicho Kampasi ya Mlimani walioripotiwa kuumwa tumbo, hawana ugonjwa wa kipindupindu, bali walipata adha hiyo baada ya kula kwenye mgahawa wa Cafeteria One chuoni hapo.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania hatarini kukumbwa na magonjwa yasioambukizwa

Serikali na wadau wa afya nchini wametakiwa kuleta jitihada za pamoja   ili kuweza kuisaidia jamii kupata elimu ya kutosha kuhusu namna ya kukabiliana na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza kama vile saratani,kisukari,moyo na pumu.

Watu wengi nchini wanakumbwa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na kuishi mtindo wa maisha usiofaa kiafya.

Magonjwa yasiyoambukiza ni magonjwa ambayo yapo ndani ya jamii maskini na tajiri lakini mapambano dhidi yake hayapewi kipaumbele cha kutosha kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudani kusini kukumbwa na baa la njaa

Mgogoro wa Sudani kusini waelezwa kusababisha ukosefu wa chakula

 

9 years ago

GPL

KIM KARDASHIAN KUKUMBWA NA KISUKARI CHA UZAZI

Mwanamitindo maarufu wa Marekani, Kim Kardashian. Kim Kardashian akifanyiwa uchunguzi kwa njia ya Ultra Sound. ...Akiwa na mwanaye North. MWANAMITINDO maarufu wa Marekani, Kim Kardashian, amefichua kwamba anaweza kukumbwa na kisukari cha uzazi wakati akisubiri kujifungua mtoto wake wa pili. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 34 na anayeelekea mwishoni mwa kipindi chake cha ujauzito aliyasema hayo akiwa na… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya wakazi 5,000 hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko

SAM_0061

Choo cha muda kinachotumiwa na wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya msingi TARU namba saba. (Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_0066

Baadhi ya wananchi wa kata ya Mang’onyi wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu kumnadi mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.

Na Jumbe Ismailly, Ikungi            

ZAIDI ya wakazi 5,000 wa Kijiji cha Sambaru,kata ya Mang’onyi,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida wamo hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kujisaidia vichakani kwa kutokuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani