Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UDSM yakana chuo kukumbwa kipindupindu

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amesema wanafunzi wawili wa chuo hicho Kampasi ya Mlimani walioripotiwa kuumwa tumbo, hawana ugonjwa wa kipindupindu, bali walipata adha hiyo baada ya kula kwenye mgahawa wa Cafeteria One chuoni hapo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bukombe hatarini kukumbwa na kipindupindu

WANANCHI wa eneo la soko la chakula la mji mdogo wa Ushirombo, wilayani Bukombe, Geita, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na dampo la taka kufurika. Diwani wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mkuu wa Chuo UDSM afariki dunia

Marehemu Balozi Fulgence KazauraMKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Balozi Fulgence Kazaura, amefariki dunia juzi nchini India alikokuwa akitibiwa maradhi ya saratani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wahamasisha utalii wa ndani kwa vitendo

Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu.

Baadhi ya Wanafunzi  wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

Wanafunzi hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii, uchumi na biashara waliofanya ziara hiyo ikiwa chini ya mwamvuli wa University of Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la siku ya TABIANCHI Afrika Chuo Kikuu UDSM

1 (1)  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa watafiti wa Kituo cha ‘Center For Climate Changes Styles’, Khalid Mwakobaa (kulia) na Rdith Benedict, wakati alipotembelea katika Mabanda ya maonesho kwenye Kongamano la Siku ya Tabianchi Afrika, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu Dar es Salaam, jana.

1C

  Makamu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WARAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU YA TABIANCHI AFRIKA CHUO KIKUU CHA UDSM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa watafiti wa Kituo cha 'Center For Climate Changes Styles', Khalid Mwakobaa (kulia) na Rdith Benedict, wakati alipotembelea katika Mabanda ya maonesho kwenye Kongamano la Siku ya Tabianchi Afrika, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu Dar es Salaam, jana.  Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WARAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU YA TABIANCHI AFRIKA CHUO KIKUU CHA UDSM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Siku ya Tabianchi Afrika, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya. Kuongamano hilo lilifanyika jana Juni 17, 2015 kwenye Ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu Dar es Salaam, jana.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa watafiti wa Kituo cha...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu

Na  Raymond Mushumbusi- MAELEZO
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kukumbwa na ukame

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za masika hazitarajiwi kuwa za kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi kukumbwa na ukame

>Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwelekeo wa mvua za masika katika kipindi cha Machi mpaka Mei na kusema kuwa hali ya mvua haitarajiwi kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani