Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA APIGA KAMPENI KUINADI CCM MKOA WA KAGERA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa jimbo la Muleba ya Kusini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM imemleta Dk. John Pombe Magufuli kwa sababu ni kiongozi imara asiyetetereka na amekuwa mstari wa mbele kuona Taifa hili likiendelea.. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Muleba kusini  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Muleba ya Kaskazini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Biharamulo mjini ikiwa siku ya mwisho ya ziara ya siku 10 mkoani Kagera ambapo alizungumzia changamoto mbali mbali zikiwemo za Bei ya Kahawa, Leseni za Bisahara na Boda Boda, Urahisishwaji wa Biashara mipakani , Katibu Mkuu aliwataka wananchi wa Biharamulo kuacha siasa za kishabiki badala yake kuchagua viongozi wanaofaa na watakaoleta maendeleo.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM APIGA MARUFUKU MAANDAMANO KATIKA KIPINDI CHA KAMPENI.


Jiji la Dar es Salaam limepiga marufu maandamno yeyote ya vyama vya siasa hasa wakati wa kampeni na kwamba kufanya hivyo ni kinyume na sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa chama au wafuasi wowote watakaobainika kufanya maandamo hayo.Agizo hilo kali kwa wafuasi na vyama vya siasa imekuja siku moja tu kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, ambapo kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam vyama vyote vya siasa na wafuasi wao watakaofanya kampeni zao Dar es Salaam hawanabudi...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AFUNGA KAMPENI ZAKE KWA MKOA WA KAGERA

Wakazi wa Kyerwa wakimsikiliza Dk. Jonh Pombe Magufuli wakati wa mkutano wake wa kampeni. Magufuli akijinadi sambamba na mgombea ubunge jimbo la Ngara (CCM) Alex Gashaza.…

 

9 years ago

Habarileo

Mkapa kunogesha uzinduzi kampeni za CCM Kagera

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa leo anatarajiwa kuzindua kampeni za CCM mkoa wa Kagera kwenye Uwanja wa Uhuru mjini hapa.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WILAYANI MISSENYI MKOANI KAGERA.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman na msafara wake ukielekea kukagua mradi wa maji uliopo katika kata ya Bundaza,wilayani Missenyi mkoani Kagera.Ndugu Kinana  na ujumbe wake wapo katika ziara za kujenga na kuimarisha chama, kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenda kuona chanzo cha maji kwenye eneo la Ukolobe kijiji cha Rukurungo kata ya Bugandika wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
  Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA WILAYA YA KARAGWE MKOANI KAGERA.

 Sehemu ya ujenzi wa barabara ya Kyaka-Bugene inayojengwa wilayani Karagwe,yenye urefu wa Km 59.9 kwa mujibu wa Mkandarasi wa barabara hiyo alieleza kuwa mpaka kukamilika mnamo Desemba mwaka huu itakuwa imetumia kiasi cha shilingi bilioni 65 na ushehe.   Makandarasi wa kampuni ya kichina ya CHICCO, inayojenga barabara ya Kyaka-Bugene wilayani Karagwe, wakisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyekwenda kukagua ujenzi huo eneo la Mugulakorongo, Ndama.Katibu wa NEC Itikadi...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA MKOANI MWANZA,AMALIZANA NA KAGERA NA GEITA

   Katibu Mkuu wa CCM ndugu Kinana (kulia) akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  katika Kata ya Nyehunge Kijiji cha Isaka, Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema, Mwanza leo.  Katibu Mkuu wa CCM ndugu Kinana  akitoka akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  katika Kata ya Nyehunge Kijiji cha Isaka, Jimbo la Buchosa, wilayaniSengerema, Mwanza leo.   Kinana akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi wa maji  katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyehunge, Jimbo la Buchosa.  Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA KUANZA ZIARA KESHO KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA

Katibu wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza mapema leo jijini Dar na Waandishi wa habari, alieleza kuwa wataondoka jijini Dar kesho kwa basi maalumu, ambapo watasimama njiani katika mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida na mengineyo kwa ajili ya kusalimia wananchi. Katibu wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisisitiza jambo zaidi kwa Waandishi wa habari, kuhusiana na ziara hiyo itakayoanza kesho.

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anatarajia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani