Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kinana na ujumbe wake wateka mji wa mtwara

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye  viwanja vya Mashujaa mjini humo akihitimisha ziara yake ya siku 16 aliyoifanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na wananchi wenyewe na kuhimiza uhai wa chama cha Mapinduzi CCM.
 Katika ziara hiyo Katibu mkuu huyo aliongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KINANA NA UJUMBE WAKE WAFUNIKA JIMBO LA MCHINGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Milola jimbo la Mchinga ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa sera mbadala matokeo yake wamekuwa wakitumia muda mwingi kuishambulia CCM Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ,Mbunge wa Jimbo la Mtama na mlezi wa wilaya Kilwa na Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akiwasalimia wakazi wa Milola waliojitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman. Sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano. Katibu...

 

11 years ago

GPL

KINANA ATINGA NKASI, MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WAKE MJI MDOGO WA NAMANYERE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na kina mama wa hamasa, baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika, Jumapili, Machi 30, 2014, katika mji mdogo wa Namanyere, wilayani Nkasi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kizitatua, katika mkoa wa Rukwa.… ...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE JIMBO LA SAME MASHARIKI.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo mafupi namna  Tangawizi inavyosindikwa katika kiwanda hicho,ambapo Katibu Mkuu Ndugu Kinana alishuhudia kiwanda hicho kukabidhiwa mashine za kuchakata Tangawizi kutoka SIDO.Kiwanda hicho kilizinduliwa na Rais Kikwete mnamo Oktoba,2012.Katika taarifa iliyosomwa kiwandani hapo inaeleza kuwa kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni 500 zimetumika kwa ajili ya ujenzi pamoja na shughuli nyingine za kujenga uwezo ili kuhakikisha kiwanda...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE YAENDELEA MKOANI LINDI


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifungua maji kama ishara ya kuzindua huduma za maji kwa wakazi wa kijiji cha Mpigamiti, mradi huo utahudumia vijiji vingine viwili vya Namakololo na Mitawa ambapo wakazi zaidi ya 6000 watafaidika na mradi huo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Bi.Hadija Sheweji  mkazi wa kijiji cha Mpigamiti mara baada ya kukagua mradi wa maji.
 Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM ...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE NDANI YA WILAYA YA TANDAHIMBA.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa zao la korosho lina hadithi nyingi sana na njia pekee ya kuleta ukombozi kwa mkulima ni kujenga kwa viwanda vya kutosha vya kubangulia Korosho nchini.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wasihadaike na wapinzani ambao muda wao wa ujana wameutumia wakiwa CCM na uzeeni kuingia upinzani na kuanza kuhadaa watu...

 

11 years ago

Michuzi

christian bella na bendi yake ya malaika wateka mji wa tabora

 Mpiga kinanda na stage manager wa Malaika Band akiwa kazini usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi mjini Tabora wakati bendi hiyo inayokuja juu kwa kasi chini ya uongozi wa mtunzi na mwimbaji mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi huo mkongwe  Safu ya ushambuliaji ya Malaika band wakiwa jukwaani  Mandhari ya ukumbi  Wanenguaji wa Malaika band wakiwajibika Kiongozi, mtunzi na...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE YAENDELEA NDANI YA WILAYA YA NACHINGWEA

 Kikundi cha Wakulima cha Umoja Rika wakiinua majembe juu kama ishara ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyefika kwenye shamba hilo la ushirika la Mkotokuyana wilaya ya Nachingwea. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakulima wa kikundi cha Umoja Rika kilichopo Mkotokuyana,Nachingwea mkoani Lindi. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiendesha treka kulima shamba la ushirika la Mkotokuyana huku akiwa amempakia Mbunge wa Jimbo la ...

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI WA CUF WILAYANI URAMBO WASHIRIKI MAPOKEZI YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE

 Madiwani wa Chama cha CUF,wilayani Urambo wakimpokea kwa bashasha kubwa katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwasili katika wilaya ya Urambo,mapema leo akitokea wilayani Sikonge.Shoto ni Diwani wa CUF,Mh.Kandola Nyanda wa kata ya Nsenda na kati ni Diwani wa CUF,Kata ya Usoke,Mh.Kadada Mohamed,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya elimu,afya na maji katika halmashauri ya Urambo mkoani Tabora.Pichani nyuma ya Kinana ni Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani