Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA ATINGA NKASI, MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WAKE MJI MDOGO WA NAMANYERE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na kina mama wa hamasa, baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika, Jumapili, Machi 30, 2014, katika mji mdogo wa Namanyere, wilayani Nkasi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia za kizitatua, katika mkoa wa Rukwa.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kinana afunga kazi Urambo, maelfu wahudhuria mkutano wake wa hadhara

1. Kinana akihutibia maelfu ya wananchi kwenye Viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora.

2. Kinana akihutubia mkutano wa hadhara

Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Kinana kwenye mkutano huo.

3. Kinana akiinukliwa baada ya kutawazwa uchifu

Kinana akiinuliwa baada ya kusimikwa uchifu wa Wanyamwezi kabla ya kuhutubia mkutano huo.

3b. Kinana katika picha ya pamoja na waliomtawaza uchifu

Kinana akiwa katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara Tabora kwa kishindo, maelfu wahudhuria mkutano wake wa hadhara

1. Kinana akihutubia maelfu ya watu katika Uwanja wa Stendi ya zamani mjini Tabora

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara aliofanya jana jioni kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani mjini Tabora. Kinana amemaliza ziara yake ya siku 11 ,Mei 18, 2014.

Nape akihutubia Tabora

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa Tabora mjini.

2. Wasira

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, bunge wa Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Steven Wassira akihutubia kwenye mkutano huo ambapo pamoja na mambo mengine,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO MKOANI MWANZA

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha jijini humo. (Picha na Said Powa)
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa ACT-Wazalendo.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MAGUFULI MJI MDOGO WA MGANZA FUNIKA BOVU

Umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano wa Magufuli kwenye mji mdogo wa Mganza.Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa kata ya Mganza ambapo aliwaaga rasmi baada ya kuwatumikia kwa miaka 20 kama mbunge wao.Umati wa wakazi wa mji mdogo wa Mganza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM aliwashukuru na kuwaaga kwa miaka 20 aliowatumikia kama Mbunge wao na kuwataka wananchi wachague Mbunge mchapakazi kama...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.



  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.
Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji...

 

10 years ago

Michuzi

kinana na ujumbe wake wateka mji wa mtwara

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye  viwanja vya Mashujaa mjini humo akihitimisha ziara yake ya siku 16 aliyoifanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na wananchi wenyewe na kuhimiza uhai wa chama cha Mapinduzi CCM.
 Katika ziara hiyo Katibu mkuu huyo aliongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe, Joseph Baziry, wakati wa mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani