Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa upinzani akamatwa Sudan

Kiongozi wa upinzani nchini Sudan Sadiq al Mahdi amekamatwa kutokana na madai ya kuchochea chuki dhidi ya serikali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Al-Shabaab akamatwa

Kiongozi mkuu wa kundi la wapiganaji wa Alshabaab amekamatwa karibu na mji mmoja karibu na mpaka wa Kenya na Somali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkewe kiongozi wa IS akamatwa

Vikosi vya usalama nchini Lebanon vimemkamata mkewe kiongozi wa kundi la wapiganaji wa kiislamu la IS Abu Bakr al-Baghdadi karibu na mpaka na Syria na mwanawe mvulana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Makaburi: Kiongozi wa Mandera akamatwa

Kiongozi mmoja wa Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya, amekamatwa na polisi kuhusiana na madai ya kuwepo kwa makaburi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa mapinduzi B Faso akamatwa

Jenerali Gilbert Diendere ,kiongozi wa mapinduzi ya mwezi uliopita nchini Burkina Faso anazuiliwa na vikosi vya usalama vya taifa hilo .

 

11 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa Upinzani aongezewa kifungo

Mahakama ya juu zaidi nchini Rwanda imemhukumu kiongozi wa Upinzani nchini humo Victoire Ingabire kifungo cha miaka 15.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani aachiliwa Burundi

Mahakama nchini Burundi imemwachilia kwa dhamana Frederic Bamvuginyumvira aliyekabiliwa na kashfa ya ngono na ulaji rushwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Makao ya kiongozi wa upinzani yazungukwa

Kiongozi wa upinzani nchini Sudan Kusini Lam Akol anasema kuwa nyumba yake imezingirwa na vikosi vya usalama

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani apinga kufuatiliwa

Kiongozi wa upinzani, Urusi amekatilia mbali kifaa cha elektroniki cha kufuatilia nyendo zake ikiwa ni kupinga adhabu aliyopewa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani auawa Burundi

Kiongozi wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani