Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIPAJI KINGINE CHA MAGUFULI NA UCHAPAKAZI WAKE HIKI HAPA


Wanamichezo wamekuwa wakijiuliza kama mgombea wa urais wa CCM, John Pombe Magufuli ni mpenda michezo.Ingawa wapo wanaoamini ni mpenda michezo, lakini inaonekana wazi kuwa anapenda sanaa.Kipaji cha sanaa ambacho amekuwa hakionyesha mara kwa mara ni upigaji wa ngoma ambazo ikitokea ameona watu wanazitandika, amekuwa hajivungi kama picha hii inavyoonyesha.Magufuli ndiye mgombea wa urais kupitia CCM baada ya kuwashinda wagombea wengine 37 walioonyesha nia.CCM kupitia mwenyekiti wake, Jakaya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATNUMZ KUENDELEA KUPIGA HELA KUPITIA MZIKI WAKE, HIKI NI KITU KINGINE KIPYA

Diamond Platnumz ni msanii mwengine mkubwa wa Kitanzania aliyejiunga na Mkito.com kwaajili ya kusambaza muziki wake mtandaoni. Msanii huyu anajiunga na wengine kama Fid Q, Nay Wamitego, Rich Mavoko, Vanessa Mdee, Juma Nature, Barnaba, Linah, Belle 9 na wengine wengi katika mchakato unaoendelea kuwawezesha wasanii kujipatia kipato kutokana na muziki wao kupakuliwa kwenye mtandao. Diamond kabla ya kuondoka kuelekea Afrika ya Kusini kwaajili ya video yake mpya aliona ni vyema kuungana na...

 

9 years ago

Bongo5

Magufuli atrend kwenye mitandao ya kijamii Kenya, wasifia uchapakazi wake

john-magufuli-presidential-inauguration

Uchapakazi wa Rais Dkt John Magufuli unatuma ujumbe si kwa maafisa wa Tanzania pekee, bali na nchi za jirani pia na kuwaacha viongozi wa nchi hizo kwenye wakati mgumu.

john-magufuli-presidential-inauguration

Kenya ambayo imekuwa ikifuatilia siasa za Tanzania tangu wakati wa kampeni, imeonesha kupenda mbinu za Magufuli na wananchi wake wanatamani mtu kama yeye.

Kwa kipindi kifupi alichoingia madarakani, Magufuli amefanya mambo makubwa na wananchi wamependa.

Ziara yake ya kushtukiza kwenye hospitali ya Muhimbili ilifichua uovu...

 

10 years ago

Mwananchi

Kilio cha taifa letu ni hiki hapa

Kuongozwa kwa fedha badala ya fikra, tumepotea njia salama, tupo gizani Kilio cha taifa letu ni uongozi! Ili tupige hatua kutoka hapa tulipo sasa, tunahitaji kiongozi bora, mzalendo na anayeishi maisha ya Watanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Kibano cha wagombea urais CCM hiki hapa

Masharti yaliyomo katika fomu za wagombea urais za CCM huenda yakawa mtihani kwa baadhi yao, hasa katika kipengele kinachohoji iwapo mgombea aliwahi kujiunga na chama kingine cha siasa zaidi ya Tanu na Afro Shiraz Party (ASP).

 

11 years ago

Mwananchi

Uchambuzi wa daktari: Kilichochangia kifo cha Nasra hiki hapa

Wiki hii tumempoteza mtoto, Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefichwa katika boksi kwa miaka minne mjini Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani