Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND PLATNUMZ KUENDELEA KUPIGA HELA KUPITIA MZIKI WAKE, HIKI NI KITU KINGINE KIPYA

Diamond Platnumz ni msanii mwengine mkubwa wa Kitanzania aliyejiunga na Mkito.com kwaajili ya kusambaza muziki wake mtandaoni. Msanii huyu anajiunga na wengine kama Fid Q, Nay Wamitego, Rich Mavoko, Vanessa Mdee, Juma Nature, Barnaba, Linah, Belle 9 na wengine wengi katika mchakato unaoendelea kuwawezesha wasanii kujipatia kipato kutokana na muziki wao kupakuliwa kwenye mtandao. Diamond kabla ya kuondoka kuelekea Afrika ya Kusini kwaajili ya video yake mpya aliona ni vyema kuungana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu apania kuiteka Bongo kwa kitu hiki kipya!

Wema Sepetu akionyesha Lipstick

Baada ya kuzindua lipstick zake, Kiss By Wema Sepetu, malkia huyo filamu nchini, amepanga kuingiza sokoni perfume yake pamoja na bidhaa zingine za urembo.

Wema Sepetu akionyesha Lipstick

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema apost picha yake na kuandika:

I think this should be my colour ya lipstick wen it comes to my brand Kiss. Naipenda coz it just makes me feel good nikiipaka…. For a very long time nimekuwa nikitaka sana kuwa na kitu kitacho carry jina langu la Wema Sepetu… I thought of perfume at first ila huko...

 

10 years ago

Vijimambo

KIPAJI KINGINE CHA MAGUFULI NA UCHAPAKAZI WAKE HIKI HAPA


Wanamichezo wamekuwa wakijiuliza kama mgombea wa urais wa CCM, John Pombe Magufuli ni mpenda michezo.Ingawa wapo wanaoamini ni mpenda michezo, lakini inaonekana wazi kuwa anapenda sanaa.Kipaji cha sanaa ambacho amekuwa hakionyesha mara kwa mara ni upigaji wa ngoma ambazo ikitokea ameona watu wanazitandika, amekuwa hajivungi kama picha hii inavyoonyesha.Magufuli ndiye mgombea wa urais kupitia CCM baada ya kuwashinda wagombea wengine 37 walioonyesha nia.CCM kupitia mwenyekiti wake, Jakaya...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond Platnumz kuingia kwenye jumba la BBA Hotshots leo (Nov 27) kupiga story na washiriki

Diamond Platnumz tayari ametua jijini Johannesburg, Afrika Kusini toka jana, tayari kuhudhuria tuzo za Channel O (CHOAMVA) zinazotarajiwa kutolewa siku ya Jumamosi Nov.29 akiwa anawania vipengele vinne. Staa huyo ambaye ameachia ngoma mpya siku chache zilizopita ‘Ntampata wapi’, ameandika kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamaii kuwa pia leo Alhamisi Nov.27 atapata nafasi ya kuingia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani