Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindupindu chaua Mbeya, sita walazwa

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine sita kulazwa katika Hospitali ya Makandana wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya kwa kuugua kipindupindu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 17 Mwanza

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuleta maafa mkoani hapa, baada ya kusababisha vifo vya watu 17 na wengine 268 kulazwa katika vituo mbalimbali vya afya tangu Septemba, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 21 Mwanza

Watu 21 wamefariki dunia na wengine 670 kulazwa katika kambi mbalimbali kutokana na kuugua kipindupindu tangu kilichoibuka mkoani Mwanza Septemba.

 

9 years ago

Habarileo

Kipindupindu chaua 2 Dodoma

WAKAZI wawili wa wilaya ya Kongwa mkoani hapa, wamefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu.

 

9 years ago

StarTV

Kipindupindu chazidi kuwa tishio chapiga hodi singida 11 walazwa.

WAKATI ukiwa bado ukiendelea kutikisa katika Jiji la Dar-es-Salamu na kuua watu wengi, ugonjwa wa Kipindupindu umeingia katika Manispaa ya Singida ambapo watu 11 wamelazwa kwenye kambi iliyotengwa eneo la viwanja vya Mandewa kwa ajili ya kutibu wenye dalili za ugonjwa huo.

 Tayari watu watatu miongoni mwa 11 waliozwa kwenye kambi iliyoanzishwa wakiharisha na kutapika, wamefanyiwa vipimo vya kitaalamu na kubainika kuwa na ugonjwa huo hatari wa kipindupindu.

 Akizungumza na waandishi wa habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua mwingine Geita

 Siku chache baada ya wagonjwa wawili kufariki dunia kati ya 50 waliobainika kuugua ugonjwa wa kipindupindu katika Wilaya ya Geita, mgonjwa mwingine amefariki kwa ugonjwa huo.     

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 36 Dar es Salaam

Watu 36 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu katika Jiji la Dar es Salaam tangu Agosti 15.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua mwingine Dar

Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu ulioikumba Dar es Salaam, imeongezeka na kufikia watatu.

 

9 years ago

Mtanzania

Kipindupindu chaua wawili Dodoma

ganjaWATU wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya 120 wamelazwa katika vituo vya kutolea huduma ya kwanza katika wilaya tano za Mkoa wa Dodoma kutokana na ugonjwa wa kipindupindu.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Ofisa Afya wa Mkoa wa Dodoma, Edward Ganja alisema watu wawili wamefariki dunia kutokana na ugonjwa huo katika Wilaya ya Kongwa.

Ugonjwa wa kipindupindu umeripotiwa kuingia mkoani hapa tangu Septemba mwaka huu katika wilaya za Kongwa, Chamwino, Bahi, Manispaa ya...

 

9 years ago

Habarileo

Kipindupindu chaua mmoja wilayani Nkasi

UGONJWA wa kipindupindu umeibuka wilayani Nkasi mkoani Rukwa na mpaka sasa umeua mtu huku wengine 19 wakipatiwa matibabu katika vituo vitatu tofauti vilivyotengwa katika mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani humu baada ya kuathirika kwa ugonjwa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani