KISA FREEMASON MZEE WA UPAKO AMIMINA RISASI MTAANI
Mwandishi Wetu NI kama kimenuka tu! Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita alizua la kuzua kufuatia kumimina risasi kadhaa hadharani kwa madai ya kuwatawanya kundi la vijana waliodaiwa kumvamia na kuziba barabara kwa lengo la kumfanyia kitu mbaya. Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLFREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO
10 years ago
GPLMZEE WA UPAKO: NILISHIRIKIANA...
11 years ago
GPLMZEE WA UPAKO ATESWA NA MISUKULE
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Mzee wa Upako awakemea wanaharakati
WANAHARAKATI wanawake nchini wametakiwa kuwaheshimu waume zao na kuelewa kuwa mwanamume ni kichwa cha familia. Akizungumza katika kipindi chake cha Tutashinda kinachorushwa hewani na kituo cha runinga cha Channel Ten...
10 years ago
Vijimambo03 Jul
MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO‘MZEE WA UPAKO’ -4
KUSEMA MIMI NI TAJIRI WA KUTISHA NI KUNIONEA! Mpenzi msomaji wiki iliyopita tuliendelea na simulizi hii tamu ya MJUE HUYU ambapo mhusika mkuu ni Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu jijini Dar, Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako.
Baada ya kusimulia historia ya maisha yake, Mzee wa Upako aliishia pale alipokuwa akifafanua kwa nini hajiiti nabii wala mtume kisha akazama kwenye kusimulia juu ya huduma na makanisa ya kiroho. UNGANA...
11 years ago
GPLUUJUMBE WA KUMTISHIA MAISHA MZEE WA UPAKO
10 years ago
GPLMAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO
11 years ago
GPLMZEE WA UPAKO: NILIPIGWA KWA WIZI WA PESA
10 years ago
GPLMCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO‘MZEE WA UPAKO’ -4