Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kitabu cha Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, chatimiza miaka 10 tangu kuchapishwa


Na Profesa Joseph Mbele

Kitabu changu, Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, kimetimiza miaka kumi tangu nilipokichapisha, tarehe 5 Februari, mwaka 2005. Siku hiyo niliuingiza muswada katika mtandao wa lulu nikalipia namba ya utambulisho wa kitabu, yaani ISBN. Siku hiyo hiyo niliagiza nakala ya kwanza, nikaipata baada ya wiki moja hivi. Wiki hii ni kumbukumbu ya miaka kumi ya kuwepo kwa kitabu hiki.
Mambo mengi yametokea katika miaka hii kumi kuhusiana na kitabu hiki....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kitabu cha Adolf Hitler kuchapishwa tena

Kitabu maarufu cha Adolf Hitler kwa jina Mein Kampf kitachapishwa tena kikiwa na maelezo zaidi ya wasomi mwezi ujao.

 

11 years ago

Michuzi

KITABU CHA KWANZA KINACHOELEZA KWA KINA HISTORIA YA KLABU YA SIMBA TANGU 1920 HADI SASA

                                                 Mwina Kaduguda

 

11 years ago

Dewji Blog

Kitabu cha kwanza kinachoeleza Historia ya Klabu ya Simba tangu 1920 hadi sasa chazinduliwa rasmi na Mh. Nkamia

A3 Poster - SIMBA (FR) Flat

unnamed (1)

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akijiandaa kukata utepe ili kuweza kuzindua rasmi kitabu hicho cha Historia ya Simba,Wanaoshuhudia kulia ni Mtunzi wa Kitabu hicho Mwina Kaduguda akifuatiwa na Bwana Mkuki Bugoya Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.

unnamed (5)

Mwina kaduguda Mtunzi wa Kitabu cha “HISTORIA YA SIMBA” akimkabidhi  Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia...

 

9 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WATU 500 WANATARAJIWA KUSHIRIKI KATIKA BONANZA LA KUSHEREKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA KITUO CHA MAZOEZI CHA HOME GYM

 ZAIDI ya watu 500 wanatarajiwa kushiriki katika bonanza la kusherehekea miaka 17 tangu kuanzishwa kituo cha mazoezi cha home gym kilichopo mwenge jijini dar es salaa litakalofanyika juma pili hii ya septemba 20 katika viwanja vya Escape One.
Andrew Mangomango ni mkurugenzi wa kityuo hicho ametanabaisha kuwa maandalizi yote yamekamalika na kusema kuwa miongoni mwa watu watakaoshiriki katika bonanza hilo ni pamoja na vikundi vya Joging vya jijini DSM, vutio vya gym na yeyote atakayehitaji...

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu. Akizindua rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa...

 

9 years ago

Dewji Blog

MODEWJIBLOG na Kumbukumbu ya miaka 16 ya tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!

nyerere

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika). leo  hii ni miaka 16 tangu atangulie mbele za haki huku taifa na vizazi vyake vikiendelea kumkumbuka na kuenzi utashi na  uongozi wake ulitukuka katika taifa hili la Tanzania.

Mtandao wa Modewjiblog unaungana na Watanzania wote popote pale walipo katika kuombeleza kumbukumbu hii ya Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere. Pia tunatumia...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA (TAWLA) CHAZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 TANGU KIANZISHWE

 Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chama cha Wanawake Wanasheria  Tanzania (TAWLA),  Margareth Ringo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa, katika  maadhimisho ya miaka 25 ya kujengea uwezo na kufanya uchechemuzi juu ya haki ya wanawake. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA, Tike Mwambipile na Mjumbe wa Baraza la TAWLA, Annmarie Mavenjina. Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA, Tike Mwambipile (kulia), akizungumza katika...

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA (TAWLA) CHAZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 TANGU KIANZISHWE‏

 Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chama cha Wanawake Wanasheria  Tanzania (TAWLA),  Margareth Ringo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa, katika  maadhimisho ya miaka 25 ya kujengea uwezo na kufanya uchechemuzi juu ya haki ya wanawake. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA, Tike Mwambipile na Mjumbe wa Baraza la TAWLA, Annmarie Mavenjina. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani