Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITABU CHA MKATABA WA SIRI TAYARI

Na Mwandishi Wetu
MWANDISHI mahiri wa hadithi na mshauri wa uhusiano na mapenzi, Joseph Shaluwa amekamilisha kitabu chake kipya cha riwaya kiitwacho Mkataba wa Siri ambacho kinauzwa kwa oda tu. Akizungumza na mtandao huu, Shaluwa ambaye Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Risasi Mchanganyiko, linachopishwa na Kampuni ya Global Publishers, alisema kabla ya hadithi hiyo kuwa kitabu, ilitoka katika Gazeti la Ijumaa. “Ni hadithi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mkataba wa Wamasai na wakoloni watua kwa siri

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.MIAKA takribani 60 baada ya kuanzishwa kwa Hifadhi maarufu ya Serengeti, mkataba uliosainiwa na wazee 12 wa Kimasai pamoja na utawala wa kikoloni wa Mwingereza umetua nchini kwa siri.

 

5 years ago

Michuzi

KITABU CHA NIMEJITAKIA CHA MOHAMMED HAMMIE CHAZINDULIWA RASMI NCHINI

Hatimae kitabu cha NIMEJITAKIA kilichoandikwa na Mohammed Hammie kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa riwaya nchini Tanzania na Afrika Mashiriki kimetoka rasmi huku kikipokelewa kwa bashasha fasihini.

Akizungumza nasi mwandishi wa kitabu hicho Bwana Mohammed amesema kuwa tayari riwaya hiyo imeshaanza kusambazwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo kwa mkoa wa Dar es salaam kinapatika katika duka la TPH Bookshop lililopo posta, duka la kona ya riwaya lililopo Moroko, pamoja...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA RAIS NKURUNZIZA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Ndumbaro akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Gervais Abayeho.  


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre  Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa heshima baada ya kutia saini kitabu cha...

 

10 years ago

Bongo5

Kitabu kipya cha Harry Porter kipo njiani, kitakuwa cha bure

Mwandishi wa vitabu, JK Rowling anatoa kitabu kipya cha Harry Potter kupitia mtandaoni na kitakuwa cha kusoma bure. Kitabu hicho kitaendelea na historia ya familia ya kichawi ya Porter katika karne ya 12. Kitapatika kwenye tovuti ya Pottermore.com. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za […]

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KITABU CHA KUJIFUNZA KILINGALA CHA TSHIMANGA KALALA ASSOSA NA KAVASHA CLUB JUMAPILI

Mwanamuziki mkongwe na mtunzi Tshimanga Kalala Assosa
​UZINDUZI WA KITABU NA KAVASHA CLUB...Jumapili hii tarehe 03-May-2015, mwanamuziki mkongwe Tshimanga Kalala Assosa atazindua kitabu kilichokuwa kikisubiriwa na watu wengi sana kwa muda mrefu mno.Ni kitabu cha "Jifunze LINGALA kwa Kiswahili".Uzinduzi huo utaambatana na tukio kubwa sana la wana Dar Kavasha Club pamoja na chakula cha jioni cha pamoja (dinner).Ni ndani ya ukumbi wa MRC Jumapili (03-May-2015) kuanzia saa 12 hadi saa 3 jioni....

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA WAZIRI CELINA KOMBANI MIKOCHENI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani kilichotoke Nchini India juzi, wakati Makamu wa Rais alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mikocheni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akifariji watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani