Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitambi Noma yatwaa Ubigwa wa soka katika Tamasha la kwanza la Amani na Utalii

Mwenyekiti wa kamati ya amani mkoa wa Arusha(APET) Petro Ahham akimkabidhi kikombe cha ushindi  wa Bonanza la Amani na Utalii Mkoa wa Arusha,Nahodha wa timu ya Kitambi Noma, James Lugangira.

Wanamichezo wa Kitambi noma wakishabikia ushindi mara baada ya kukabidhiwa kombe katika kiwanja cha General Tyre jijini Arusha.

Na Woinde Shizza,Arusha

Klabu ya Kitambi noma ya jijini Arusha, hivi karibuni ilitwaa ubingwa wa soka katika tamasha la kwanza la amani na utalii ambalo lilifanyika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tamasha la Utalii na Amani kufanyika Arusha

Mkurugenzi wa kampuni ya Arusha Media ambaye ni mmojawapo wa waandaaji wa tamasha la Utalii na Amani, Musa Juma (katikati) akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha hilo.

Mkurugenzi wa  Alfredo Shahanga  Sports Promotion, Alfredo Shahanga (katikati). akizungumzia tamasha hilo na kutaja michezo itakayokuwepo.

Baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano huo.

Mratibu wa Tamasha hilo, Andrea Ngobole (katikati) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA UTALII NA AMANI KUFANYIKA NOVEMBA 22 ARUSHA


 mkurugenzi wa kampuni ya  Arusha Media  ambaye ni mmojawapo wa waandaaji wa tamasha hili Musa Juma katikati akiwa anaongea na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha hilo Akizungumzia tamasha hilo na kutaja michezo itakayokuwepo  , Mkurugenzi wa  Alfredo Shahanga  Sports Promotion ,Alfredo Shahanga katika kati baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano huoMratibu wa Tamasha hilo, Andrea Ngobole   katikati akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari awapo pichani
 Na Woinde...

 

11 years ago

Michuzi

KITAMBI NOMA ILIPOONYESHANA KAZI NA USHIRIKA VETERANI

Kikosi cha timu ya Ushirika Veterani. Kikosi cha timu ya Maveterani wa timu ya Kitambi noma ya jijini Arusha

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu. Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo...

 

9 years ago

Michuzi

UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU

indexG MUIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea amani katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Nkone ni muimbaji wa kwanza wa Tanzania kukubali kushiriki katika tamasha la hilo la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4.Msama alisema  wanaendelea na mchakato wa kuzungumza na waimbaji wengine ili kuwa na idadi...

 

9 years ago

Michuzi

WAIMBAJI NYIMBO ZA INJILI WAAOMBA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

 Mwimbaji  wa nyimbo za Injili Upendo Nkone (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika ofisi za  Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha kuombea amani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama  kuhusiana na kushiriki katika tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Kulia ni Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu na kustoto ni Christophe Mwanganyira.Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mchungaji Maboya mmoja wa viongozi walioshiriki Tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na maaskofu na wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili kutoka Tanzania na nje ya nchi kwenye Tamasha la kuombea Amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa hapa Dar es Salaam tarehe 4.10.2015.Mamia ya wananchi waliohudhuria...

 

10 years ago

Dewji Blog

TSN kumwaga zawadi za kutosha katika tamasha la kwanza la magari la ‘Automobile Clinic’ Jijini Dar

Mmiliki wa Jossekazi Auto garage ambao ndiyo waandaaji wa tamasha akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha la kwanza la Magari la aina yake, linalojulikana kwa jina la Automobile Clinic, ambalo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili Septemba 27 na 28, 2014 katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam. Ambapo alisema kuwa tamasha hilo limelenga katika kutoa huduma ya kitaalamu ya kiufundi kwa wenye magari (Checkup and Fix) kutoka kwa mafundi stadi ambao wamebobea katika fani ya...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014: NOMA SANAAA

Mpango mzima utakuwa ni Agosti, mwaka huu wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakapochukua nafasi akatika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mastaa kibao wakiwemo Ali Kiba, staa wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria, Juma Nature, Madee, R.O.M.A Mkatoliki, Wanaume halisi na wengineo kibao wataporomosha burudani za kufa mtu siku hiyo. Tamasha hili si la… ...

 

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani