Kitendawili cha Bajeti kuteguliwa leo
Macho na masikio ya wananchi leo yatahamia bungeni mjini Dodoma wakati Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum atakapokuwa akisoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Jan
Kitendawili Baraza la Mawaziri kuteguliwa leo
KATIBU Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Mawaziri, leo atazungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam.
10 years ago
CloudsFM22 Dec
JK KUTENGUA KITENDAWILI CHA ESCROW LEO?
Maswali hayo yanatokana na maazimio ya Bunge ambayo yalionekana kuvuta hisia za wananchi katika kona mbalimbali za nchi ambako walikuwa wanafuatilia moja kwa moja mjadala wa Bunge hadi kupitishwa maazimio hayo.
Hotuba hiyo...
11 years ago
Mwananchi14 May
Kikao cha Bajeti ya Zanzibar leo
 Kikao cha majadiliano ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kitaaza leo katika Baraza la Wawakilishi kisiwani hapa, miswada miwili ya sheria itawasilishwa na kujadiliwa.
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Kitendawili cha Waziri Mkuu
Baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amebaki na kitendawili kikuu cha kuteguliwa cha kumteua nani atakuwa msaidizi mkuu wa shughuli za Serikali (Waziri Mkuu).
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Kitendawili cha wanajeshi wa UG S.Kusini
Wabunge nchini UG leo wanajadili hatua ya serikali kuwapeleka bila idhini ya bunge wanajeshi wa taifa hilo nchini Sudan Kusini.
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AWAONGOZA WATENDAJI WA WIZARA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI, BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Nani atategua kitendawili cha Westgate?
Maswali mengi yameibuka tangu shambulio la Westgate nchini Kenya ikiwemo, majina ya walioshambulia na fidia kwa waathiriwa.
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA 2015/2016 LEO MKOANI MOROGORO
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Kitendawili cha Escrow: Chadema yaongeza orodha
Masikio ya Watanzania leo yameelekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete watakapokuwa wakisikiliza hotuba yake kwa Taifa inayotarajiwa kujibu maswali yapatayo 10 ambayo yanatarajiwa kutegua kitendawili cha kashfa ya uchotaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania