Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitendawili cha Escrow: Chadema yaongeza orodha

Masikio ya Watanzania leo yameelekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete watakapokuwa wakisikiliza hotuba yake kwa Taifa inayotarajiwa kujibu maswali yapatayo 10 ambayo yanatarajiwa kutegua kitendawili cha kashfa ya uchotaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

JK KUTENGUA KITENDAWILI CHA ESCROW LEO?

Masikio ya Watanzania leo yameelekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete watakapokuwa wakisikiliza hotuba yake kwa Taifa inayotarajiwa kujibu maswali yapatayo 10 ambayo yanatarajiwa kutegua kitendawili cha kashfa ya uchotaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Maswali hayo yanatokana na maazimio ya Bunge ambayo yalionekana kuvuta hisia za wananchi katika kona mbalimbali za nchi ambako walikuwa wanafuatilia moja kwa moja mjadala wa Bunge hadi kupitishwa maazimio hayo.

Hotuba hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAMPONGEZA RAIS KUTEGUA KITENDAWILI CHA TEGETA ESCROW

NA CHALILA KIBUDA WA GLOBU  YA JAMII, DAR
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo na Elimu ya Juu Nchini wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutoa maamzi kwa wale ambao walihusika katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kwa kutengua uteuzi wake kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi , Profesa Anna Tibaijuka, kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema  pamoja na kusimamishwa kazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliackim Maswi.Akizungumza na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikwete kutegua kitendawili Escrow?

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete leo atalihutubia taifa kuyatolea ufafanuzi masuala nyeti yanayoligusa taifa hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Akaunti ya Escrow bado kitendawili bungeni

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi JARIBIO la wabunge la kuishinikiza Serikali kuwasilisha bungeni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu madai ya kuchotwa kwa zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow, limekwama.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kitendawili cha wanajeshi wa UG S.Kusini

Wabunge nchini UG leo wanajadili hatua ya serikali kuwapeleka bila idhini ya bunge wanajeshi wa taifa hilo nchini Sudan Kusini.

 

9 years ago

Mwananchi

Kitendawili cha Waziri Mkuu

Baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amebaki na kitendawili kikuu cha kuteguliwa cha kumteua nani atakuwa msaidizi mkuu wa shughuli za Serikali (Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Mwananchi

Kitendawili cha Bajeti kuteguliwa leo

Macho na masikio ya wananchi leo yatahamia bungeni mjini Dodoma wakati Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum atakapokuwa akisoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nani atategua kitendawili cha Westgate?

Maswali mengi yameibuka tangu shambulio la Westgate nchini Kenya ikiwemo, majina ya walioshambulia na fidia kwa waathiriwa.

 

10 years ago

Habarileo

Ukawa sasa kutegua kitendawili cha majimbo

Wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa wakiwa katika mkutano wa siasa.KITENDAWILI cha mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi kulingana na makubaliano ya Ukawa, kinatarajiwa kutenguliwa wiki hii viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo vitakapokutana kukamilisha utaratibu wa kuachiana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani