Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani atategua kitendawili cha Westgate?

Maswali mengi yameibuka tangu shambulio la Westgate nchini Kenya ikiwemo, majina ya walioshambulia na fidia kwa waathiriwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NANI WA KUTEGUA KITENDAWILI CHA WAMACHINGA JANGWANI?

Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo waliokuwa wameanza kujenga mabanda eneo la Jangwani jijini Dar wakiwa kwenye mabanda yao. Hiki ni kibao kinachoonesha mpaka wa kufanyia biashara eneo hilo.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUA DODOMA, KUTEGUA KITENDAWILI CHA NANI MTEULE WA CCM KUWANIA URAIS WA TANZANIA WIKI HII

 MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiongozana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, (kulia), akiwapungia wana CCM waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Julai 8, 2015. 
Mwenyekiti huyo wa CCM amewasili na kuanza kazi mara moja ya kuongoza kikao cha kamati ya maadili ili kupokea taarifa za watia nia wa CCM, kabla ya kuanza kuwajadili na kupunguza majina kutoka 39 hadi matano, kazi itakayofanywa na Kamati Kuu ya chama hicho inayotarajiwa kukutana Alhamisi Julai...

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

9 years ago

Mwananchi

Kitendawili cha Waziri Mkuu

Baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amebaki na kitendawili kikuu cha kuteguliwa cha kumteua nani atakuwa msaidizi mkuu wa shughuli za Serikali (Waziri Mkuu).

 

11 years ago

BBCSwahili

Kitendawili cha wanajeshi wa UG S.Kusini

Wabunge nchini UG leo wanajadili hatua ya serikali kuwapeleka bila idhini ya bunge wanajeshi wa taifa hilo nchini Sudan Kusini.

 

11 years ago

Mwananchi

Kitendawili cha Bajeti kuteguliwa leo

Macho na masikio ya wananchi leo yatahamia bungeni mjini Dodoma wakati Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum atakapokuwa akisoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.

 

10 years ago

CloudsFM

JK KUTENGUA KITENDAWILI CHA ESCROW LEO?

Masikio ya Watanzania leo yameelekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete watakapokuwa wakisikiliza hotuba yake kwa Taifa inayotarajiwa kujibu maswali yapatayo 10 ambayo yanatarajiwa kutegua kitendawili cha kashfa ya uchotaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Maswali hayo yanatokana na maazimio ya Bunge ambayo yalionekana kuvuta hisia za wananchi katika kona mbalimbali za nchi ambako walikuwa wanafuatilia moja kwa moja mjadala wa Bunge hadi kupitishwa maazimio hayo.

Hotuba hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

CUF wajifungia kutegua kitendawili cha Ukawa

>Chama cha Wananchi (CUF) kinafanya kikao chake cha Baraza Kuu la Uongozi leo mjini Zanzibar huku wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakisubiri kwa hamu kitakachoamuliwa kuhusu mgombea urais wa umoja huo.

 

10 years ago

Habarileo

Ukawa sasa kutegua kitendawili cha majimbo

Wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa wakiwa katika mkutano wa siasa.KITENDAWILI cha mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi kulingana na makubaliano ya Ukawa, kinatarajiwa kutenguliwa wiki hii viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo vitakapokutana kukamilisha utaratibu wa kuachiana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani