NANI WA KUTEGUA KITENDAWILI CHA WAMACHINGA JANGWANI?
Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo waliokuwa wameanza kujenga mabanda eneo la Jangwani jijini Dar wakiwa kwenye mabanda yao. Hiki ni kibao kinachoonesha mpaka wa kufanyia biashara eneo hilo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UEYO3vWQ1lk/VZ00PFAVSFI/AAAAAAAAVxc/9AvLmue8r7o/s72-c/JK_KINANA2.jpg)
RAIS KIKWETE ATUA DODOMA, KUTEGUA KITENDAWILI CHA NANI MTEULE WA CCM KUWANIA URAIS WA TANZANIA WIKI HII
![](http://1.bp.blogspot.com/-UEYO3vWQ1lk/VZ00PFAVSFI/AAAAAAAAVxc/9AvLmue8r7o/s640/JK_KINANA2.jpg)
Mwenyekiti huyo wa CCM amewasili na kuanza kazi mara moja ya kuongoza kikao cha kamati ya maadili ili kupokea taarifa za watia nia wa CCM, kabla ya kuanza kuwajadili na kupunguza majina kutoka 39 hadi matano, kazi itakayofanywa na Kamati Kuu ya chama hicho inayotarajiwa kukutana Alhamisi Julai...
10 years ago
Habarileo27 Apr
Ukawa sasa kutegua kitendawili cha majimbo
KITENDAWILI cha mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi kulingana na makubaliano ya Ukawa, kinatarajiwa kutenguliwa wiki hii viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo vitakapokutana kukamilisha utaratibu wa kuachiana.
10 years ago
Mwananchi25 Jul
CUF wajifungia kutegua kitendawili cha Ukawa
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2L_mtRvSSxg/VJsy2KjEmnI/AAAAAAAG5rM/-lmDrQRfxdw/s72-c/Untitled1.png)
WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAMPONGEZA RAIS KUTEGUA KITENDAWILI CHA TEGETA ESCROW
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo na Elimu ya Juu Nchini wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutoa maamzi kwa wale ambao walihusika katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kwa kutengua uteuzi wake kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi , Profesa Anna Tibaijuka, kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema pamoja na kusimamishwa kazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliackim Maswi.Akizungumza na...
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Kikwete kutegua kitendawili Escrow?
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Nani atategua kitendawili cha Westgate?
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Masika yametegua kitendawili uwanja wa Yanga Jangwani
KITENDAWILI ni usemi wa kifumbo unaohitaji jibu la papo kwa papo. Ni maneno ya mafumbo yanayofanya maana ya kitu isijulikane kwa urahisi. Mfano: ‘Macho’ ni jibu la ‘Popoo mbili huvuka...
10 years ago
Mwananchi31 May
NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Kitendawili cha Waziri Mkuu