Kivuli cha Blatter chaitesa Fifa
Siku mbili baada ya kutangaza kujiuzulu, aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter amejitokeza hadharani na kueleza imani yake ya kuendelea kuwa ofisini hadi Februari mwakani, muda unaodhaniwa kuwa utafanyika uchaguzi mdogo wa kumpata rais mpya wa Fifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 May
FIFA:Blatter aongoza kikao cha dharura
Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter, ameongoza kikao cha dharura cha wanakamati wakuu wa shirikisho hilo huko Zurich Uswisi.
11 years ago
Michuzi05 Aug
MALINZI ATUMA RAMBIRAMBI FIFA KUOMBOLEZA KIFO CHA MAKAMU WA BLATTER

Rais wa Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shrikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa), Sepp Blatter kutokana na kifo cha makamu wake mwandamizi Julio Grondora.Amesema yeye binafsi na jamii ya mpira wa miguu Tanzania kwa ujumla wanaomboleza msiba wa Grondora ambaye pia alikuwa Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Argentina (AFA).Ameongeza kuwa Grondora alikuwa mtumishi mwandamizi wa mpira wa miguu, kwani alijitoa katika...
10 years ago
GPL
BLATTER AJIUZULU FIFA
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter. Zurich, Uswis
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, jana alijiuzulu cheo chake kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.Blatter alitangaza kujiuzulu jana jioni zikiwa ni siku nne tangu alipochaguliwa kwa mara ya tano kuiongoza Fifa. Alitangaza uamuzi huo kwenye makao makuu wa Fifa mjini Zurich akiwa ametumikia cheo cha urais...
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Blatter kujiuzulu Fifa
Zurich, Uswisi. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.
10 years ago
BBCSwahili28 May
FIFA: Blatter asalia Kimya !
Rais wa FIFA Sepp Blatter kuonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu maafisa wakuu wa FIFA kukamatwa kufuatia tuhuma za ulaji rushwa
10 years ago
TheCitizen03 Jun
Blatter to resign as Fifa president
Zurich. Sepp Blatter says he will resign as president of football’s governing body Fifa amid a corruption scandal.
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Blatter asema hatojiuzulu FIFA
Rais wa shrikisho la soka duniani Sepp Blatter amesema kuwa hatojiuzulu wadhfa wake licha ya mashtaka ya uhalifu yanayofungiliwa dhidi yake na wachunguzi wa Uswizi.
10 years ago
BBC
Fifa re-elects Blatter president
Fifa re-elects Sepp Blatter president as his rival withdraws after the first round of a vote overshadowed by allegations of corruption in world football.
10 years ago
BBC
Blatter appeals against Fifa ban
Fifa president Sepp Blatter appeals against the decision to ban him while corruption allegations are investigated.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania