Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiwanda cha Biotech Products ni mtaji kwa Watanzania

UZINDUZI wa kiwanda pekee cha kuzalisha wadudu wa kuua viluwiluwi vinavyoeneza ugonjwa wa malaria ni fursa nyingine kwa Watanzania kukuza mitaji na nguvu kazi.

Kiwanda kilichozinduliwa na Rais Jakaya Kikwete, wiki iliyopita, Tanzania Biotech Products Ltd kichukuliwe kuwa ni mtaji pekee wa kuendeleza Watanzania katika miaka ijayo ambapo Tanzania inatarajiwa kuwa na uchumi wa daraja la kati.

Serikali imewekeza Sh. bilioni 61.5 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda hicho kilichopo Kibaha,...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida

DC

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.

Na Hillary Shoo,

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi  Wilayani Ikungi Mkoani Singida.

Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...

 

10 years ago

Michuzi

JK AKIREJESHA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE LUSHOTO KWA WANANCHI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano ulioandaliwa rasmi kuwaambia wananchi wa Mponde, Halmashauri ya Wilaya ya Bumburi, Lushoto mkoani Tanga, kuwa Rais Jakaya Kikwete amekubali kukirudisha Kiwanda cha Chai cha Mponde kwa wananchi baada ya mgogoro dhidi mwekezaji wa kiwanda hicho, Yusufu Mula uliodumu kwa takribani miaka 10 na kusababisha kiwanda hicho kufungwa maiaka miwili iliyopita na kuwaacha wananchi kwenye lindi kubwa la umasikini.
Hayo ni Mafanikio ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete akirejesha kiwanda cha Chai cha Mponde Lushoto kwa wananchi

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba wakati alipowasili jimboni humo katika wilaya ya Lushoto. akiwa katika ziara ya siku mbili ambapo amefanya mkutano wa hadhara katika kata ya Mponde na kuwataarifu wananchi na wakulima wa Chai kuhusu maagizo ya Rais Jakaya Kikwete juu ya kukirejesha kiwanda cha Chai cha Mponde kwa wananchi , Awali kiwanda hicho kilikuwa kinamilikiwa na Mwekezaji Yusuf Mulla na kilifungwa kutokana na...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania washauriwa kuwekeza katika Hisa Kukuza Mtaji

Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwekeza katika hisa na kutumia fursa za kibenki kwaajili ya kujiwekea akiba ya matumizi ya baadaye ili kuondokana na mazingira magumu ya kiuchumi.

Takwimu zinaonesha kuwa, mataifa mbalimbali yaliyoendelea duniani, yameweza kuwa na uchumi imara kutokana na uwekezaji katika sekta binafsi na ushirikishwaji wa  wananchi katika shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Katika mkutano wa 10 wa mwaka wa Mfuko wa Umoja wa kampuni ya Uwekezaji Tanzania (UTT) wenye...

 

11 years ago

Michuzi

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wanaonolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme wameanza mafunzo ya vitendo ya ukaguzi na utambuzi wa nguzo bora na salama katika baadhi ya viwanda vya kuzalishia nguzo hizo mkoani Iringa. 
Ziara ya wahandisi hao wa TANESCO inalenga katika kuwawezesha katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.
Wahandisi hao wamepata fursa ya kutembela kiwanda cha Sao...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira atoa onyo kali kwa kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd kwa kukiuka taratibu za usafi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo Richard Chengula. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.  Binilith Mahenge (kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,  Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha...

 

10 years ago

Vijimambo

TATIZO LILILOSABABISHA KUFUNGWA KWA KIWANDA CHA CEMENT TANZANIA WAZO HILL

Kiwanda cha Capital Cement San Antonio.TX kilikumbwa na tatizo kama la Wazo hill na T.E.S Kampuni ya Dr Temba Mtanzania mkazi wa New York alipata tenda na alienda kutatua tatizo hilo kwa kufunga filters maalum za kuzuia huo moshi mchafu kusambaa na kusababisha matatizo ya afya kwa wakazi wa eneo la kiwanda. Dr Temba ni engineer anaedesign hizo machine za air pollution system na kampuni yake ya T.E.S uzifunga. Na toka zimefungwa filter hizo tatizo la kutoa moshi mchafu liliisha na sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani