Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiwanda cha matrekta kujengwa Tanzania

Kampuni ya Ursus ya Poland imesema ina mkakati wa kujenga kiwanda cha kutengeneza matrekta Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Suma JKT.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA INDRA GANDHI NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MATREKTA CHA NEW HOLLAND TIAT HUKO NEW DELHI

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea sehemu mbalimbali zilizohifadhiwa kumbukumbu za aliyekuwa Waziri Mkuu wa India Marehemo Indra Gandhi wakati wa uhai wake. Marehemu Idra Gandhi aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 31.10.1984 akiwa kwenye viwanja vya nyumba hiyo ambayo alikuwa akiishi.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea sehemu mbalimbali zilizohifadhiwa kumbukumbu za aliyekuwa Waziri Mkuu wa India Marehemo Indra Gandhi wakati wa uhai wake. Marehemu Idra Gandhi aliuawa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Kiwanda cha Sukari kujengwa Kasulu-TIC


Na Ripota wetu, Kasulu.
Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu imetenga eneo la uwekezaji lenye ukubwa wa hekta 35,000 kwa ajili ya kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari.
Eneo hilo kwa sasa amepewa mwekezaji wa kampuni ya Kigoma Sugar Co. Ltd chini ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ambacho kina mamlaka ya kusimamia Uwekezaji nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Simon Anange (aliyevaa Fulana rangi ya damu ya Mzee)akifafanua jambo katika kikao cha pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Dengue yaibua mkakati wa kujengwa kiwanda

Mapambano dhidi ya mbu wanaoeneza ugonjwa wa dengue na magonjwa mengine yako mbioni kufanikiwa kutokana na kiwanda cha kuzalisha dawa ya kuua mazalia yake kuanza uzalishaji mwezi ujao.

 

10 years ago

Michuzi

Kituo cha Kuendeleza Misitu Kujengwa Tanzania katika Nyanda za Juu Kusini

Warsha ya wataalam wa misitu imeazimia kuwa kitajengwa Kituo cha Kuendeleza Misitu katika Nyanda za Juu Kusini ili kutoa mafunzo ya ngazi ya VETA kuhusu uendelezaji wa mashamba na viwanda vya  misitu. Kituo hicho kitatoa mafunzo ya darasani pamoja na nje ya darasa kwenye misitu na viwanda. 
Azimio hilo linasisitiza zaidi kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Programu ya Panda Miti Kibiashara, itahakikisha kuuundwa kwa Ushirikiano kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP) kwa manufaa ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE

Na Mwandishi Wet u,Michuzi TV

KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.

Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.

Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA DORCAS MEMBE AFUNGUA KITUO CHA KUSAMBAZIA MATREKTA WAKULIMA CHA KARIATI MATRACTOR KILICHOPO KINONDONI JIJINI DAR

MKE wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dorcas Membe amekitaka kituo cha kusambaza Matrekta kwa wakulima cha Kariati Matrekta kupunguza tena bei za bidhaa hizo ili kuwa kimbilio kwa wakulima.
Kauli hiyo ameitoa leo jijini  Dar es Salaa wakati akizindua kituo hicho ambapo alisema ingawa bei zao zipo chini wapunguze tena ili hata mkulima wa chini aweze kumudu kununua au kukopa trekta hiyo imuwezeshe kuondokana na umasikini.
Akizungumza katika uzinduzi huo alisema...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kiwanda Cha Filamu Tanzania Kimerudi Nyuma Mwaka Huu-Johari

Muigizaji wa filamu, Johari Chaula amesema kuwa mwaka 2015 haukuwa mzuri kwa wasanii wa filamu.

Johari ameiambia Bongo5 kuwa wasambazaji wa filamu wamezidiwa na kazi zinazozalishwa na wasanii.

“Mwaka huu si mzuri sana kiukweli kwa sababu wasanii wa filamu wamekuwa wengi na tunazalisha sana filamu mpaka wasambazaji wanazishindwa na wao wanasema soko haliko vizuri,” amesema.

“Kwahiyo msanii kama mimi nashindwa kutoa filamu nyingi kutokana na hali hiyo, ni hivyo hivyo haukuwa mzuri sana....

 

10 years ago

Vijimambo

TATIZO LILILOSABABISHA KUFUNGWA KWA KIWANDA CHA CEMENT TANZANIA WAZO HILL

Kiwanda cha Capital Cement San Antonio.TX kilikumbwa na tatizo kama la Wazo hill na T.E.S Kampuni ya Dr Temba Mtanzania mkazi wa New York alipata tenda na alienda kutatua tatizo hilo kwa kufunga filters maalum za kuzuia huo moshi mchafu kusambaa na kusababisha matatizo ya afya kwa wakazi wa eneo la kiwanda. Dr Temba ni engineer anaedesign hizo machine za air pollution system na kampuni yake ya T.E.S uzifunga. Na toka zimefungwa filter hizo tatizo la kutoa moshi mchafu liliisha na sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani