Kizaazaa cha albino walipotifuana huko Ikulu
![](http://1.bp.blogspot.com/-DfbooI4QZKU/VPh1F7PhkTI/AAAAAAABUwA/WNmtGKUX0GM/s72-c/KAMATA%2BHUYO.jpg)
Baadhi ya watu wakiamulia ugomvi uliotokea kati ya wanachama na viongozi wao.
WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino), leo walizusha vurugu katika viwanja vya Ikulu wakipinga baadhi ya wao kuonana na Rais Jakaya Kikwete.
Kundi la albino waliokuwa wamebaki nje walianza kupaza sauti na kudai waliopewa nafasi ya kuingia kuonana na Mhe. Rais si viongozi wao, jambo ambalo liliwalazimu maofisa usalama kuingilia kati.
Katika mkutano huo, Rais Kikwete alikutana na wawakilishi 15 huku wengine zaidi ya 30...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-tkZn29GYSc0/VGiYVJ52nlI/AAAAAAAAT4M/3Kene5osCUc/s72-c/mtoto.jpg)
MTOTO ANAYEDAIWA KUGEUKA NYOKA AYEZUA KIZAAZAA HUKO GEITA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tkZn29GYSc0/VGiYVJ52nlI/AAAAAAAAT4M/3Kene5osCUc/s640/mtoto.jpg)
Mtoto huyo (jina lake tunalihifadhi kwa sasa), wiki iliyopita alivuta umati wa wakazi wa Kijiji cha Nkome mkoani Geita ambao walifurika ndani na nje ya Kanisa la AICT Nkome, lililopo kijiji hapo,...
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
Rais akutana na uongozi wa Chama cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam jana. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Mcheche Masaju Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabirika Mushi na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw. Emmanuel Achayo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-s2tOLC1_jU0/VPieM-t8vlI/AAAAAAAHH6M/tQ6A2Oa6tEA/s1600/a2.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati akiongea na viongozi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hbNYqeDDwQU/VPieIQWMSzI/AAAAAAAHH58/F5dkcxNFsXU/s72-c/a3.jpg)
JK akutana Na viongozi Wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-hbNYqeDDwQU/VPieIQWMSzI/AAAAAAAHH58/F5dkcxNFsXU/s1600/a3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-s2tOLC1_jU0/VPieM-t8vlI/AAAAAAAHH6M/tQ6A2Oa6tEA/s1600/a2.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-OPDqSRIGX5o/VPhVRhNjU9I/AAAAAAADbh8/L1_yrhR8mFQ/s72-c/al01.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-OPDqSRIGX5o/VPhVRhNjU9I/AAAAAAADbh8/L1_yrhR8mFQ/s1600/al01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-IWjoVee_HAk/VPhVRirs4aI/AAAAAAADbh4/Szv-peHw1ts/s1600/al1.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3Ls-ddE9I8PImWW2g1chvHrvwziMmVP04uGibLkqQye9T7c7eJdBuqFkwxcYiI6NfL6E9oAu68hxDhcqETggkQf/al01.jpg?width=750)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yILHIeEOAcQzEobCVeJ6g51e0G3hUb5n8zE56m36xB08eC21Gs9NPf*B02AnpvREo1eMRAhuRFiTIEWjhJJ20BD/1ALBINO2.jpg?width=650)
ALBINO AUAWA, ACHUKULIWA VIUNGO VYAKE HUKO SIMIYU
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Albino wazichapa kavukavu Ikulu
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wamepigana ngumi na mateke wakigombea kuingia kumwona Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la aina yake lilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ambapo lilianzia kwenye eneo la mapokezi Ikulu mara baada ya walemavu hao kukaguliwa na kuwekwa kwenye chumba maalumu cha kupumzikia wageni.
Baada ya muda, ofisa wa Ikulu alifika kwenye chumba walipokuwa walemavu hao akiwa...
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Albino wazusha vurugu Ikulu - Tanzania