Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KKKT watoa tamko Kanisa la Mwanza

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria (DMZV), limeitaka Serikali kuhakikisha inawatafuta watu waliohusika na tukio la bomu lililolipuka kanisani hapo juzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KANISA LA KKKT WATOA VIFAA KINGA KWA HOSPITALI YA MT.MERU


  Na.Vero Ignatus.Arusha
Kamati ya kusaidia ya wasijiweza (Diakonia)kutoka kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini kati Usharika wa Engarenarok mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wametoa msaada wa barakoa 1650 katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Arusha Mount Meru
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo hapo jana ,Askofu wa Dayosisi ya kaskazini kati Dkt. Solomon Jacob Masangwa alisema kuwa madaktari na wauguzi ni rasilimali muhimu sana ,hivyo kumuandaa daktari mmoja ni garama...

 

10 years ago

Michuzi

JK ahudhuria Maadhimisho ya miaka125 ya kanisa la KKKT Tanga

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilei ya miaka 125 ya dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga leo. Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

Michuzi

JK aongoza Harambee ujenzi wa Kanisa la KKKT Bumbuli

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Naibu waziri Mawasiliano Sayansi na Technolojia na mbunge wa Bumbuli January Makamba wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Bumbuli Shughuli hiyo imefanyika katika Hotel ya Golden Tulip  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wimbo wa wanabumbuli mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip kwa ajili ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Kilutheri la Bumbuli, Kushoto ni askofu mkuu wa KKKT DKt.Gerhas...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA KKKT MONDULI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishiriki na waumini wenzake wa kikristo katika ibada ya Jumapili, Kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Monduli, Jijini Arusha, leo Agosti 16, 2015.

 

10 years ago

GPL

RAIS JK AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA125 YA KANISA LA KKKT TANGA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilei ya miaka 125 ya dayosisi hiyo yaliyofanyika katika Viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga leo. (Picha na Freddy Maro) HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA IBADA YA MAADHIMISHO YA JUBILEE YA...

 

5 years ago

Michuzi

Njombe:Waumini wa kanisa la KKKT watakiwa kuvaa barakoa wanapoingia kanisani

Na Amiri kilagalila, NjombeWAUMINI wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania dayosisi ya kusini,wametakiwa kuhakikisha wanavaa barakoa wanapofika ibadani.
Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa hilo dayosisi ya kusini Dkt,George Fihavango mara baada ya ibada ya Jumapili katika kanisa la hilo usharika wa Mji Mwema mjini Makambako,ambapo amesema kuwa waumini wote wanatakiwa kuvaa barakoa wanapokuwa ibadani ili waweze kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Aidha ametoa wito kwa wakuu...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA KANISA LA KKKT JIMBO LA HAI

 Mkurugenzi wa MasokoUtafiti, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa  akiwasili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Jimbo la Hai kwa ajili ya ibada maalumu ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa la KKKT jimbo la Hai. Katika harambee hiyo Benki ya CRDB ilitoa shilingi milioni 20 kufanikisha ujenzi wa Kanisa na Kituo cha Watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha wageni mara baada ya...

 

9 years ago

Michuzi

DK. KIMEI AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA SIHA MKOANI KILIMANJARO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Siha Sango Mkoani Kilimanjaro. Ibada hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo ambapo zaidi ya shs Milioni 100 zilipatikana.















Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiijili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Cuthbert Temba akiongoza ibada. Waumini wa Kanisa hilo wakiwa katiba ibada.  Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodfrey...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani