Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KANISA LA KKKT WATOA VIFAA KINGA KWA HOSPITALI YA MT.MERU


  Na.Vero Ignatus.Arusha
Kamati ya kusaidia ya wasijiweza (Diakonia)kutoka kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini kati Usharika wa Engarenarok mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wametoa msaada wa barakoa 1650 katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Arusha Mount Meru
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo hapo jana ,Askofu wa Dayosisi ya kaskazini kati Dkt. Solomon Jacob Masangwa alisema kuwa madaktari na wauguzi ni rasilimali muhimu sana ,hivyo kumuandaa daktari mmoja ni garama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

KKKT watoa tamko Kanisa la Mwanza

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria (DMZV), limeitaka Serikali kuhakikisha inawatafuta watu waliohusika na tukio la bomu lililolipuka kanisani hapo juzi.

 

5 years ago

Michuzi

WORLD VISION TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA KUWAKINGA NA CORONA WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA


Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa vifaa tiba na kinga vyenye thamani ya shilingi milioni 29 kwa ajili ya kusaidia watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Shinyanga kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona ‘Covid 19’ wanapohudumia wagonjwa.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 8, 2020 na Meneja wa World Vision Tanzania Kanda ya Ziwa John Massenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Massenza alisema wao kama...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Wanawake wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii watoa msaada wa vifaa tiba Hospitali ya Palestina

Mkuu Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt.Joyce Nyoni akiwa katika picha ya pamoja katika maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyofanyika katika viwanja vya Leader’s Club jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Taasisi wa Ustawi wa Jamii Dkt.Joyce Nyoni akimkabidhi moja kifaa tiba Mratibu wa Huduma Tiba wa Hospitali ya Palestina-Sinza Dkt.Nchang’wa Nhumba wakati walipokwenda kutoa msaada wa vifaa tiba mbalimbali ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.Mkuu wa Taasisi wa Ustawi wa Jamii Dkt.Joyce...

 

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

5 years ago

Michuzi

UVIKASA YAKABIDHI PIKIPIKI 32 NA VIFAA KINGA KWA VIJANA.

Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.

Uongozi wa Umoja wa Vijana Karagwe Saccos (UVIKASA) kupitia Mlezi wake Mbunge wa Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent L. Bashungwa umekabidhi pikipiki 32, pamoja na Vifaa kinga dhidi ya Corona kwa vijana wanachama wa Saccos hiyo ili kuwaendeleza kiuchumi.

Tukio hilo limefanywa na Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti mapema Mei 07, 2020 katika Viwanja vya Ofisi za CCM Karagwe, na kushuhudiwa na Viongozi wa Chama na Serikali, ikiwa ni...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS AYATOA MAFUNZO NA KUGAWA VIFAA KINGA DHIDI YA KORONA KWA BODABODA NA BAJAJI



Afisa wa Usalama Mahali pa Kazi kutoka kampuni ya ASAS, Cosmas Charles akitoa elimu kwa madereva bajaji juu ya kunawa mikono kujinga na maambukizi ya virus vya corona kwenye kituo cha bajaji cha M.r hotel kilichoko manispaa ya Iringa.

……………………………….

NA DENIS MLOWE. IRINGA

KAMPUNI ya Asas imegawa msaada wa vifaa kinga na mafunzo dhidi ya kujinga na Virusi Vya Corona kwenye vituo vya Bodaboda na Bajaji manispaa ya Iringa.

Msaada huo wa ndoo maalum za kunawihia mikono na sabuni ‘Sanitezer’...

 

5 years ago

CCM Blog

TAASISI YA ANDALUSIA NA HANDS HAPPY ZAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KINGA DHIDI YA CORONA KWA WILAYA YA ILALA


Kiongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Andalusia pamoja na Happy Hands, Zainab Bunamy (kushoto)  akikabidhi msaada wa  vifaa mbalimbali vya kinga dhidi ya Corona kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema wenye thamani ya sh. mil. 7, vikiwemo vifaa vya mavazi ya kujikinga wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa  ugonjwa huo.                              
 
Kiongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Andalusia pamoja na Happy Hands, Zainab Bunamy (kushoto)  akikabidhi msaada wa  vifaa vya kinga dhidi ya Corona kwa...

 

5 years ago

Michuzi

UZALISHAJI WA VAZI KINGA (PPE) MUHIMBILI WAONGEZEKA KWA 400% HUKU MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) IKIRIDHIA NA KULITAMBUA

Mafundi wa kitengo cha Ushonaji MNH wakiendelea na ushonaji wa vazi la PPEVazi la PPE likiwa tayari kupelekwa kwa wateja .Mafundi wa Kitengo cha Ushonaji MNH wakiwa katika maandalizi ya awali ya ushonaji wa vazi la PPEMuonekano wa vazi la PPE linaloshonwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.******************************* Dar es Salaam, Jumanne Mei 19,...

 

10 years ago

Michuzi

JK ahudhuria Maadhimisho ya miaka125 ya kanisa la KKKT Tanga

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilei ya miaka 125 ya dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga leo. Picha na Freddy Maro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani