KOLETA SASA NIPO TAYARI KUZAA BILA NDOA
Msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’. Na Gladness Mallya/ Amani KUTOKANA na umri kumtupa mkono, msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibuka na kutengua kauli aliyowahi kuitoa kwamba hawezi kuzaa nje ya ndoa na kusema kwa sasa yupo tayari kufanya hivyo muda wowote. Akistorisha na Amani, Koleta alisema kwa sasa yupo tayari kuzaa hata bila ndoa kwani ni muda mrefu amekuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Aug
DIAMOND SASA NIPO TAYARI KWA KIFO
SIKU chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata binti na kumwita Latifah ‘Princess Tiffah’ na kuanza maisha mapya ya familia na mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’, nyota huyo anadaiwa kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa sasa yupo tayari kwa kifo kwa vile ndoto yake kubwa ya kupata mtoto imekamilika na ana chata duniani.
KWANZA ANAMSHUKURU MUNGU
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini,...
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ghasia: Nipo tayari kuwajibika
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM,
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema kwamba yuko tayari kuwajibika iwapo atabainika amevuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchini.
Waziri Ghasia aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu taarifa ya awali ya upigaji kura katika Serikali za Mitaa.
“Nitakuwa...
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Magufuli: Nipo tayari kushtakiwa
Waziri John Magufuli
Oliver Oswald Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.
Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo endapo watashindwa kuwa walinzi wa uharibifu...
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu
Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.
"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...
10 years ago
GPLDIAMOND: NIPO TAYARI KWA KIFO!
10 years ago
GPLNAY: NIPO TAYARI KUPIMA DNA
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
David Malole: Nipo tayari kuopteza ubunge
“NIPO tayari kufa na nikifa nisizikwe bali nikatwe vipande vitatu. Kimoja kitupwe majini mamba wale, kingine msituni fisi watafune na kingine vichakani ndege wanaokula mizoga wale, lakini sitakuwa tayari kuona...
9 years ago
GPLROSE NDAUKA: NIPO TAYARI KUOLEWA NA YEYOTE!
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Tundaman: Nipo tayari kuwasaidia vijana wa Manzese
NA JENNIFER ULLEMBO
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Khalid Ramadhan ‘Tundaman’, ameweka wazi kwamba yupo tayari kutoa msaada kwa vijana wanaoishi maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam.
Akifafanua kauli yake hiyo, alisema anatamani awe daraja la mafanikio kwa vijana hasa waliokata tamaa ya maisha ili awaongoze katika maisha mapya na ya matumaini.
“Nipo tayari kuwasaidia hata katika ushauri hasa vijana waliokata tamaa ya maisha wasisite waje nyumbani hata kama sitakuwepo, watakutana na...