Kolo Toure athibitisha kustaafu
Mlinzi wa timu ya Liverpool Kolo Toure ameuthibitishia ulimwengu kuwa anastaafu kusakata kabumbu la kimataifa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV03 Dec
Kolo kustaafu kuchezea timu ya Taifa.
Beki wa timu ya taifa ya Ivory Coast Kolo Habib Toure, ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Mara baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Mataifa huru barani Afrika mwakani
Nyota huyo mwenye miaka 33- anayecheza klabu ya Liverpool ya Uingereza ameitumikia timu yake ya taifa mara 109.
Alikuwa mmoja wa wachezaji walikuwa kwenye kikosi kilichofuzu kucheza Michezo ya Kombe la Mataifa huru mwaka 2015 inayotarajiwa kufanyika kuanzia17 Januari mpaka 8 Februari huko Equatorial Guinea.
“Nina...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79974000/jpg/_79974513_kolo.jpg)
Kolo Toure in squad for final time
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75671000/jpg/_75671506_toure.jpg)
Brother of Yaya and Kolo Toure dies
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ….
Najua umezoea kusikia zile headlines za wanamichezo kadhaa wakiingia katika shutuma za kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni dawa ambazo zimekatazwa kutumika katika michezo. Miongoni mwa wanamichezo ambao wamekuwa wakituhumiwa kutumia dawa hizo ni wanariadha na mabondia. Stori zilizopo katika headlines kwa sasa zinamuhusu staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Shaktar Donetsk ya Ukraine Frederico […]
The post Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81021000/jpg/_81021752_kolo.jpg)
Kolo confirms international retirement
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Kolo kuacha kuchezea Timu ya Taifa
10 years ago
Vijimambo11 Jul
Dr Slaa athibitisha kuteuliwa na UKAWA
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/07/Dr-Wilbroad-Slaa.jpg?resize=484%2C279)
Baada ya jina la katibu Mkuu wa Chadema Dk Wibroad Slaa likiwa limeteuliwa na UKAWA kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba.
Dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wa @twitter wa Dr Slaa kathibitisha kuteuliwa na UKAWA. CREDIT:MILLARDAYO
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Neymar athibitisha Man United Inamtaka
9 years ago
Habarileo17 Oct
Magufuli athibitisha ushiriki mdahalo wa urais
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amethibitisha kushiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza, utakaofanyika kesho ambao utawakutanisha wagombea watano wa vyama vya upinzani.