Kombe la dunia 2022 Decemba au Novemba
Fainali za kombe la dunia kwa mwaka 2022 nchini Qatar huenda sasa zitafanyika mwezi Novemba au Decemba.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Kombe la dunia ni Novemba na December 2022
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Kombe la Dunia 2022 njia panda
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Hatima ya Qatar na kombe la dunia 2022
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kazimoto anavyoikubali Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022
11 years ago
Dewji Blog21 May
Blatter: Ni “kosa” Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022
Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni – FIFA Sepp Blatter amesema ilikuwa kosa kuichagua Qatar kuandaa dimba la Kombe la Dunia mwaka wa 2022 kwa sababu ya hali ya joto kali nchini humo
Blatter amekiambia kituo kimoja cha televisheni nchini Uswisi kuwa, na namnukuu “unajua, kila mmoja hufanya makosa maishani”.
Kiwango cha wastani cha joto ni nyuzijoto 40 katika miezi ya Juni na Julai, kipindi ambacho tamasha la kombe la dunia hupangwa kufanyika.
Blatter amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa...
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya Corona: Je, kalenda ya Kombe la Dunia 2022 Qatar kuathrika?
9 years ago
Dewji Blog14 Nov
SPORT NEWS: Matokeo ya michezo ya jana kutafuta nafasi ya kufuzu kombe la Dunia 2018 na ratiba ya leo Novemba 14!
CONMEBOL Qualification;
Argentina 1 – 1 Brazil
Peru 1 – 0 Paraguay
CONCACAF Qualification;
USA 6 – 1 Saint Vincent
Guatemala 1 – 2 Trinadad and Tobago
Mexico 3 – 0 El Salvador
Costa Rica 1 – 0 Haiti
Jamaica 0 – 1 Panama
CAF Qualification;
Madagascar 2 – 2 Senegal
Comoros 0 – 0 Ghana
Kenya 1 – 0 Cape Verde
Libya 0 – 1 Rwanda
Angola 1 – 3 Afrika Kusini
Niger 0 – 3 Cameroon
Liberia 0 – 1 Ivory Coast
Mauritania 1 – 2 Tunisia
Swaziland 0 – 0 Nigeria
Ratiba...
11 years ago
BBCSwahili16 May
Ilikuwa kosa kuipa Qatar kombe la 2022