Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kazimoto anavyoikubali Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022

Doha, Qatar. Ukipita katika mitaa mbalimbali kwenye mji wa Doha, Qatar utaona wameanza kulinadi Kombe la Dunia 2022.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Blatter: Ni “kosa” Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni – FIFA Sepp Blatter amesema ilikuwa kosa kuichagua Qatar kuandaa dimba la Kombe la Dunia mwaka wa 2022 kwa sababu ya hali ya joto kali nchini humo

Blatter amekiambia kituo kimoja cha televisheni nchini Uswisi kuwa, na namnukuu “unajua, kila mmoja hufanya makosa maishani”.

Kiwango cha wastani cha joto ni nyuzijoto 40 katika miezi ya Juni na Julai, kipindi ambacho tamasha la kombe la dunia hupangwa kufanyika.

Blatter amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatima ya Qatar na kombe la dunia 2022

Ripoti iliyokua ikichunguza vitendo vya rushwa huenda ikasabisha washukiwa kushtakiwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Je, kalenda ya Kombe la Dunia 2022 Qatar kuathrika?

Uefa ina matumaini ya kumaliza ligi ya Mabingwa na Europa mwezi Agosti.

 

11 years ago

BBCSwahili

Qatar:halali kuandaa kombe la dunia

Kamati ya maandalizi ya Kombe la dunia Qatar imetetea uhalali wake kuhodhi michuano mwaka 2022

 

11 years ago

BBCSwahili

Ilikuwa kosa kuipa Qatar kombe la 2022

Sepp Blatter, amesema ilikuwa kosa kuchagua Quatar kuwa mwenyeji wa kombe la dunia mwaka wa 2022

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia 2022 njia panda

Rais wa Uefa, Michel Platini amesema fainali za kombe la dunia 2022 nchini Qatar lazima zichezwe kipindi cha majira ya baridi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia ni Novemba na December 2022

Michuano ya Kombe la dunia inatarajiwa kuchezwa mwaka 2022 huko Qatar limepangwa kutimua vumbi November na December.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia 2022 Decemba au Novemba

Fainali za kombe la dunia kwa mwaka 2022 nchini Qatar huenda sasa zitafanyika mwezi Novemba au Decemba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani