Qatar:halali kuandaa kombe la dunia
Kamati ya maandalizi ya Kombe la dunia Qatar imetetea uhalali wake kuhodhi michuano mwaka 2022
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kazimoto anavyoikubali Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022
11 years ago
Dewji Blog21 May
Blatter: Ni “kosa” Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022
Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni – FIFA Sepp Blatter amesema ilikuwa kosa kuichagua Qatar kuandaa dimba la Kombe la Dunia mwaka wa 2022 kwa sababu ya hali ya joto kali nchini humo
Blatter amekiambia kituo kimoja cha televisheni nchini Uswisi kuwa, na namnukuu “unajua, kila mmoja hufanya makosa maishani”.
Kiwango cha wastani cha joto ni nyuzijoto 40 katika miezi ya Juni na Julai, kipindi ambacho tamasha la kombe la dunia hupangwa kufanyika.
Blatter amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
England kuandaa kombe la dunia 2026 ?
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Hatima ya Qatar na kombe la dunia 2022
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OBso8W4SSL8/U59LFr0bY3I/AAAAAAAFrIU/vxj_pnff4uo/s72-c/2014-FIFA-World-Cup-Ambassadors.jpg)
Je wajua kuwa wakongwe wa Brazil walihusishwa kuandaa kombe la dunia 2014?
![](http://2.bp.blogspot.com/-OBso8W4SSL8/U59LFr0bY3I/AAAAAAAFrIU/vxj_pnff4uo/s1600/2014-FIFA-World-Cup-Ambassadors.jpg)
Na Sultani Kipingo Kamati ya maandalizi ya Kombe la Dunia 2014 ilikuwa na nyota watano wa zamani wa Brazil (pichani wakiwa na maafisa wa chama cha soka cha Brazil) waliowahi kuwika katika michuano hiyo tokea mwaka 1958 ilipofanyika nchini Sweden. Kamati hiyo, iliyoundwa January 2013 inaundwa na wachezaji wakongwe kina kutoka kushoto juu: Amarildo Tavares da Silva (wa tatu toka kulia) , José Roberto Gama de Oliveira (Bebeto), Carlos Alberto Torres, Marta Vieira da Silva, Ronaldo Luis...
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya Corona: Je, kalenda ya Kombe la Dunia 2022 Qatar kuathrika?
10 years ago
Vijimambo02 Jun
USHAHIDI WA RUSHWA WALIYO TOA SOUTH AFRICA NA KUPEWA NAFASI YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA 2010
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_4865.jpg)
Kwa takribani wiki mbili sasa neno ‘rushwa’ limekuwa likiliandama sana shirikisho la soka duniani FIFA.Wiki iliyopita maafisa 10 wa shirikisho hilo walikamatwa na serikali ya Marekani kwa kujihusisha na skendo ya ubadhirifu wa £100m, jambo ambalo lilipelekea wadau mbalimbali kumuomba Rais wa shirikisho hilo Sepp Blatter kujiuzulu.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2013/12/06/131206183113_fifa_secretary_general_jerome_valcke__512x288_getty.jpg)
Jerome Valcke Hata hivyo Blatter amegoma kufanya hivyo, lakini ikiwa suala la ubadhirifu wa £100m likiwa bado la moto, leo hii umetolewa ushahidi...
11 years ago
BBCSwahili16 May
Ilikuwa kosa kuipa Qatar kombe la 2022