England kuandaa kombe la dunia 2026 ?
England sasa inafikiria kuingia katika kinyanganyiro cha kuwa mwenyeji wa fainali za kombe la dunia mwaka 2026.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Zabuni ya kombe la dunia 2026 yaahirishwa
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Qatar:halali kuandaa kombe la dunia
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kazimoto anavyoikubali Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022
11 years ago
Dewji Blog21 May
Blatter: Ni “kosa” Qatar kuandaa Kombe la Dunia 2022
Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni – FIFA Sepp Blatter amesema ilikuwa kosa kuichagua Qatar kuandaa dimba la Kombe la Dunia mwaka wa 2022 kwa sababu ya hali ya joto kali nchini humo
Blatter amekiambia kituo kimoja cha televisheni nchini Uswisi kuwa, na namnukuu “unajua, kila mmoja hufanya makosa maishani”.
Kiwango cha wastani cha joto ni nyuzijoto 40 katika miezi ya Juni na Julai, kipindi ambacho tamasha la kombe la dunia hupangwa kufanyika.
Blatter amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OBso8W4SSL8/U59LFr0bY3I/AAAAAAAFrIU/vxj_pnff4uo/s72-c/2014-FIFA-World-Cup-Ambassadors.jpg)
Je wajua kuwa wakongwe wa Brazil walihusishwa kuandaa kombe la dunia 2014?
![](http://2.bp.blogspot.com/-OBso8W4SSL8/U59LFr0bY3I/AAAAAAAFrIU/vxj_pnff4uo/s1600/2014-FIFA-World-Cup-Ambassadors.jpg)
Na Sultani Kipingo Kamati ya maandalizi ya Kombe la Dunia 2014 ilikuwa na nyota watano wa zamani wa Brazil (pichani wakiwa na maafisa wa chama cha soka cha Brazil) waliowahi kuwika katika michuano hiyo tokea mwaka 1958 ilipofanyika nchini Sweden. Kamati hiyo, iliyoundwa January 2013 inaundwa na wachezaji wakongwe kina kutoka kushoto juu: Amarildo Tavares da Silva (wa tatu toka kulia) , José Roberto Gama de Oliveira (Bebeto), Carlos Alberto Torres, Marta Vieira da Silva, Ronaldo Luis...
10 years ago
BBCSwahili28 Jun
England yaiondoa Canada :Kombe la Dunia
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Kombe la dunia ,England yaanza vibaya
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
England hoi kombe la dunia la kriketi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLdVSjWu6Dcw1jWqXFC76Nerboat0LhfQEicGZCGe1r7-0wYTTxdqmN0f7aDAcCqVHuKrgy-3afz5Zt6QkSbWy-/Bnb9wUYIIAAcWgR.jpglarge.jpeg?width=600)
WACHEZAJI WALIOITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA