Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


England hoi kombe la dunia la kriketi

Timu ya kriket ya England imeambulia kichapo baada ya kukubali kuchapwa na New Zealand kwa jumla ya wiketi 8.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

picha za kombe la dunia la Kriketi

Mchuano wa kuwania ubingwa wa mchezo wa Kriketi duniani unaendelea huko Australia na New Zealand

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia la kriketi mitaani

Mchuano wa kombe la dunia la kriketi

 

10 years ago

BBCSwahili

India kidedea kombe la dunia kriketi

Timu ya kriketi ya India imeibanjua timu ya Ireland kwa jumla wiket nane kwenye michezo ya kombe la dunia la kriketi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia ,England yaanza vibaya

Timu ya taifa ya wanawake ya England imeanza vibaya mashindano ya kombe dunia kwa upande wa wanawake yanayoendelea nchini Canada.

 

10 years ago

BBCSwahili

England yaiondoa Canada :Kombe la Dunia

Timu ya wanawake ya England ilifuzu kwa mara ya kwanza katika hatua ya nusu fainali ya kombe la dunia baada ya kuilaza Canada 2-1

 

10 years ago

BBCSwahili

England kuandaa kombe la dunia 2026 ?

England sasa inafikiria kuingia katika kinyanganyiro cha kuwa mwenyeji wa fainali za kombe la dunia mwaka 2026.

 

11 years ago

GPL

WACHEZAJI WALIOITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA

Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde.
Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao:
Goalkeepers: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Defenders: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester...

 

11 years ago

GPL

KOMBE LA DUNIA: USIKU WA WANAUME, ENGLAND NA ITALY SAA SABA USIKU

AADA ya Fainali za Kombe la Dunia kuanza juzi kwa mchezo kati ya Brazil na Croatia, leo kuna mechi nyingine kali kati ya England na Italia. Huu ni mchezo ambao mashabiki wa soka wanausubiri kwa hamu kubwa wakiamini pia utatumika kutoa majibu halisi ya fainali hizo zinazofanyika nchini Brazil.
England na Italia ni nchi ambazo ligi zake ni maarufu sana, huku zikiwa zinafuatiliwa kwa karibu sana na mashabiki wa soka duniani kote. ...

 

11 years ago

GPL

ENGLAND HOI KWA ITALIA

Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu. Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuisawazishia England katika dakika ua 37.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani